Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Je rais wa nchi akipata tatizo la afya ya akili sheria inasemaje kuhusu yeye kuendelea kuongoza nchi?
Kikawaida mtu mwenye tatizo la afya ya akili (sio lazima awe chizi kabisa ) ni ngumu kugundua kama ana hiyo shida, ila walio karibu yake wakishirikiana na madaktari ndio wanaweza kugundua hilo tatizo.
Sasa je mtu huyu atavuliwa cheo chake na makamo wake kuchukua kiti au wataendelea naye hivyo hivyo mpaka amalize awamu yake?