G-Funk
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 2,398
- 5,554
- Thread starter
- #21
Hizi tabia mbona nchi za wenzetu hamna? Ndio maana nataka tafsiri ya kisheria tu...Mshamba ni wew unaedhani unaweza park gari pembeni ya barabara au beach ukamgonga malaya uliemnunua...!! Kama una hela ya gari huna ya lodge kopa maana huwezi mpeleka kwako malaya uliemnunua...[emoji3][emoji3][emoji3]
Wengine hatuna muda wa kushinda Lodge huduma ile inachukua madakika sasa kwanini nikakodishe lodge? Shughuli ni nyingi