Sheria inasema " Pesa za noti zote zihifidhiwe kwenye waleti wakati wa kuzibeba au kusafili"

noti inakunjwa alafu inawekwa kwenye kidosho kile kimfuko kidogo cha suruali ya jeenz,ikitolewa mpaka unaionea huruma ilivyo kunjwa.
👆
hii ni kufubaza noti haifai kufanya hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…