Sheria inasemaje ikiwa mkuu wa kanisa akijihusisha na siasa, au ni double standard?

Sheria inasemaje ikiwa mkuu wa kanisa akijihusisha na siasa, au ni double standard?

ZALEMDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2017
Posts
2,275
Reaction score
2,383
Kipengele cha kwamba makanisa yasijihusishe na siasa kifutwe maana naona hakifuatwi. Kuna double standards.

Lakini kikifutwa madhara yake ni makubwa. Lakini pia kama kipengele hicho hakisimamiwi pia madhara yake ni makubwa huko mbeleni.

Keep my words
 
Ungeweka kwanza hicho kipengele tuanzie hapo, kama hukijui hata sioni tunajadili nini cha maana hapa.
 
Dini ni jumuiya ya watu na watu hao wanaounda dini ni wananchi na wananchi hao ndiyo wanasiasa na wengine wana haki ya msingi kudai haki zao
 
Siasa maana yake ni nini?

Nini maana ya kukihusisha na siasa?
 
Wakiwasifia mbona mnafurahi lakini hamtaki kukosolewa, kwani katiba mpya ni hitaji la wanasiasa pekee? Shame on you
 
Dini ni jumuiya ya watu na watu hao wanaounda dini ni wananchi na wananchi hao ndiyo wanasiasa na wengine wana haki ya msingi kudai haki zao
Katiba mpya ni kwa ajili ya wanasiasa pekee? mtu akisifia anaonekana na mtumishi wa MUNGU akikosoa huu utawala dhalimu anaonekana ana changananya dini na siasa.
 
Nahakika hata muandishi aelewi kaandika nini
 
Kipengele cha kwamba makanisa yasijihusishe na siasa kifutwe maana naona hakifuatwi. Kuna double standards.

Lakini kikifutwa madhara yake ni makubwa. Lakini pia kama kipengele hicho hakisimamiwi pia madhara yake ni makubwa huko mbeleni.

Keep my words
" Human being is a political being" Aristotle.
 
Back
Top Bottom