Sheria inasemaje ikiwa mkuu wa kanisa akijihusisha na siasa, au ni double standard?

Sheria inasemaje ikiwa mkuu wa kanisa akijihusisha na siasa, au ni double standard?

Kipengele cha kwamba makanisa yasijihusishe na siasa kifutwe maana naona hakifuatwi. Kuna double standards.

Lakini kikifutwa madhara yake ni makubwa. Lakini pia kama kipengele hicho hakisimamiwi pia madhara yake ni makubwa huko mbeleni.

Keep my words
Maisha anayoishi Binaadamu mwenye Mwili na Damu ni siasa ukiweza litambua hilo utakuwa umepanuka kifikra toka kwenye box
 
Dini na siasa zote udili na watu.
Siasa ni maisha ya KILA siku ikiwemo dini.
 
Katiba za makanisa hukataza viongozi kujihusisha na siasa lakini huwa ruksa kwa waumini
 
Back
Top Bottom