Kapagawa ukweli ni kisu kikali.Kipengele gani kinachosema Makanisa yasijihusishe na siasa?
Hii itategemea na sheria walizojiwekea dini husika kwa viongozi waoKipengele gani kinachosema Makanisa yasijihusishe na siasa?
Katiba mpya ni kwa ajili ya wanasiasa pekee? mtu akisifia anaonekana na mtumishi wa MUNGU akikosoa huu utawala dhalimu anaonekana ana changananya dini na siasa.Dini ni jumuiya ya watu na watu hao wanaounda dini ni wananchi na wananchi hao ndiyo wanasiasa na wengine wana haki ya msingi kudai haki zao
Haelewi mkuuKuna mzee mmoja wa kihaya anaitwa Aristotle alisemaga "human being is political animal" ukielewa alimaanisha nini hutaumizwa akili na kina askofu
Hatari sana,🙌Katiba mpya ni kwa ajili ya wanasiasa pekee? mtu akisifia anaonekana na mtumishi wa MUNGU akikosoa huu utawala dhalimu anaonekana ana changananya dini na siasa.
MUNGU atusaidie snHatari sana,🙌
" Human being is a political being" Aristotle.Kipengele cha kwamba makanisa yasijihusishe na siasa kifutwe maana naona hakifuatwi. Kuna double standards.
Lakini kikifutwa madhara yake ni makubwa. Lakini pia kama kipengele hicho hakisimamiwi pia madhara yake ni makubwa huko mbeleni.
Keep my words