Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 17,119
- 32,195
Lissu siyo mfungwa kabla ya hukumu.Mfungwa yeyote yule ananyimwa uhuru, ila mambo muhimu kama chakula anapewa.
So. Mpaka hapo hilo haliwezekani.
Mahabusu kuna sheria yao tofauti na mfungwa.
OP anahoji uwepo wa sheria inayoweza kumpa ruhusa ya kwenda kushiriki kumzika ndugu wa mahabusu.