Sheria inasemaje kuhusu Tundu Lissu Kwenda kwenye mazishi ya kaka yake?

Sheria inasemaje kuhusu Tundu Lissu Kwenda kwenye mazishi ya kaka yake?

Nchi huwa haimtungii mtu mmoja sheria, hatuna sheria inayohusu familia ya Lissu.
Imagine chawa wa aina hii anaweza kuendelea na uchawa na akaja akapewa uongoz bila kufanyiwa vetting !! What a hell?? Hata kuwaza tu kilichoulizwa Hana huo uwezo!! Alaf unaweza Kuta kamaliza hata sekondar na ana cheti kina div 4 labda ya 28!!! Au div 3. Unashangaa aliwezaje kupewa vyeti na kuruhusiwa kumaliza shule akiwa mjinga hiv...
 
Ungesoma kwanza alichoandika kuliko kuruka na miguu yote miwili !! Ameuliza Sheria inasemaje kwenye mazingira ya ivyo??
Soma kichwa cha mada kinavyouliza.
Ungesoma kwanza alichoandika kuliko kuruka na miguu yote miwili !! Ameuliza Sheria inasemaje kwenye mazingira ya ivyo??

"Sheria inasemaje kuhusu Tundu Lissu", asingetaja jina la Lissu nisingeandika kumjibu.​

 
Baada ya taarifa za leo kwamba kaka yake Tundu Lissu amefariki dunia, naomba ufafanuzi kutoka kwa wajuzi wa sheria: Sheria inasemaje kuhusu mahabusu kuruhusiwa kwenda kuhudhuria au kushiriki mazishi ya ndugu yake wa karibu?

Katika mazingira haya, Tundu Lissu anakabiliwa na kesi ya uhaini, huku tarehe 6 Novemba ikitajwa kuwa tarehe muhimu katika mwenendo wa kesi hiyo.

Naomba msaada na ufafanuzi wa kisheria kuhusu iwapo mahabusu anaweza kuruhusiwa, chini ya ulinzi, kwenda kumzika au kuhudhuria mazishi ya ndugu yake wa karibu.

Soma pia :Wakili Alute Lissu Mughwai (kaka wa Tundu Lissu) afariki Dunia
Sijui Sheria, lakini kuna circumstances mfungwa au mahabusu anaweza kuruhusiwa kwenda kimzika mpendwa wake. Ila kwa Lissu na ujuaji wake siamini kama atapata nafasi hiyo unless awe acquitted Ijumaa maana mazishi ni baada ya hukumu yake.
 
Back
Top Bottom