Simba mundu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 1,343
- 1,679
Imagine chawa wa aina hii anaweza kuendelea na uchawa na akaja akapewa uongoz bila kufanyiwa vetting !! What a hell?? Hata kuwaza tu kilichoulizwa Hana huo uwezo!! Alaf unaweza Kuta kamaliza hata sekondar na ana cheti kina div 4 labda ya 28!!! Au div 3. Unashangaa aliwezaje kupewa vyeti na kuruhusiwa kumaliza shule akiwa mjinga hiv...Nchi huwa haimtungii mtu mmoja sheria, hatuna sheria inayohusu familia ya Lissu.
I mean mtu yeyote ambaye yupo chini ya ulinzi + huyo mahabusu
Soma kichwa cha mada kinavyouliza.Ungesoma kwanza alichoandika kuliko kuruka na miguu yote miwili !! Ameuliza Sheria inasemaje kwenye mazingira ya ivyo??
Ungesoma kwanza alichoandika kuliko kuruka na miguu yote miwili !! Ameuliza Sheria inasemaje kwenye mazingira ya ivyo??
Hili n swali ama?
Nchi huwa haimtungii mtu mmoja sheria, hatuna sheria inayohusu familia ya Lissu.
Vunja sheria uoneHivi, Tanzania ina sheria?Zinafuatwa?Ninavyoona,kuna watu wamejifanya ndiyo sheria zenyewe.Kama sheria-mama inaitwa kajitabu,hizo zingine zitaheshimiwa kweli?
Sijawah kuona fidia ya namna hiiAnd what if akashinda kesi!!akakutwa Hana hatia ni compensation ip atapata kufidia haki alizonyimwa!?
Ili wewe ufurahi?Vunja sheria uone
We vunja tu ndio ujueIli wewe ufurahi?
Sina sababu.Nisaidie wewe.We vunja tu ndio ujue
Haya ndiyo madhara ya kutoroka shule.Wewe ni mbwa koko
Sijui Sheria, lakini kuna circumstances mfungwa au mahabusu anaweza kuruhusiwa kwenda kimzika mpendwa wake. Ila kwa Lissu na ujuaji wake siamini kama atapata nafasi hiyo unless awe acquitted Ijumaa maana mazishi ni baada ya hukumu yake.Baada ya taarifa za leo kwamba kaka yake Tundu Lissu amefariki dunia, naomba ufafanuzi kutoka kwa wajuzi wa sheria: Sheria inasemaje kuhusu mahabusu kuruhusiwa kwenda kuhudhuria au kushiriki mazishi ya ndugu yake wa karibu?
Katika mazingira haya, Tundu Lissu anakabiliwa na kesi ya uhaini, huku tarehe 6 Novemba ikitajwa kuwa tarehe muhimu katika mwenendo wa kesi hiyo.
Naomba msaada na ufafanuzi wa kisheria kuhusu iwapo mahabusu anaweza kuruhusiwa, chini ya ulinzi, kwenda kumzika au kuhudhuria mazishi ya ndugu yake wa karibu.
Soma pia :Wakili Alute Lissu Mughwai (kaka wa Tundu Lissu) afariki Dunia