Blessing92
New Member
- Jan 9, 2019
- 1
- 0
Sheria ikoje ktk kesi ya hasara (loss) ilitokea dukan ikiwa hakuna mkataba kati ya mfanyakazi na boss
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza ni kosa, lakini usisahau kuwq mkataba mala nyingi unamlinda mfanyakazi wala sio bosi hivyo basi kwa habari ya hasara ikitokea anaweza bosi kukushtaki kama mwizi tu Lkn wewe ukiwa huna mkataba anaweza asikupe stahiki zako ndio maana kuna baadhi ya waajiri hawatoe mikataba kwa kuwa kile nikifungo kwaoSheria ikoje ktk kesi ya hasara (loss) ilitokea dukan ikiwa hakuna mkataba kati ya mfanyakazi na boss