Kwanza ni kosa, lakini usisahau kuwq mkataba mala nyingi unamlinda mfanyakazi wala sio bosi hivyo basi kwa habari ya hasara ikitokea anaweza bosi kukushtaki kama mwizi tu Lkn wewe ukiwa huna mkataba anaweza asikupe stahiki zako ndio maana kuna baadhi ya waajiri hawatoe mikataba kwa kuwa kile nikifungo kwao