Sheria inayolinda bendera ya taifa, adhabu za papo kwa papo bila ya Mahakama

kuna sehemu nilipita nikasikia filimbi bendera inashushwa nikasimama....kulikua na vijana km sita walinicheka sana,aliekua anashusha bendera ni askari wa kike aliwaangalia akaenda kukabidhi bendera ndani...
[emoji3][emoji3][emoji3]Sijataka hata umalizie, kitendo cha kusema alienda kukabidhi bendera ndani, tayari umemaliza ni nini kilifuata[emoji28][emoji28].
 
Mtaani kwetu kuna kituo cha polisi tena barabarani kabisa hadi mjengo wao umepigwa X na TANROAD. Upo senta sehemu ambayo watu wanamove freely and openly. Kuna kipindi watu hawajasikia filimbi since someone walking down street minding his/her own business. Au Matatizo ya Masikio na hawa jamaa wakishakuona wanakudaka ile paapa Kunja ngumi kwenye kokoto sehemu ambayo kila mtu anakuona na maneno machafu kibao. Hapa hawaangalii upoje,tena kama umeuchomekea ndio kabisa watakudhalalisha hadi uumbuke. Swali la kwanza ww umesoma?
Juzi rafiki yangu alidakwa yaani yy hakuisikia filimbi ya kwanza maana alikuwa anatembea tokea mbali (filimbi inaimbwa yy yupo mbali) sasa ile ya kutembea yy anasimama. Aisee alishambuliwa kama nyuki na mzinga vile.
Hapa nkakumbuka why wanafanya hivi?
Hao Polisi ni Wapumbafu sana wamevunja sheria za nchi. Huyo rafiki yako alitakiwa akamatwe awekwe ndani miezi 18 kwa mujibu wa sheria
 
Kama sheria ipo hivyo,basi vituo vya polisi viwekwe mbali na raia kama ilivyo kwa vyombo vingine vya ulinzi. Kuna mambo mengi yatakufanya usisimame pindi bendera ikishushwa intentionally and unintentionally.
 
TOFAUTISHA KATI YA POLISI NA VYOMBO VINGINE VYA USALAMA KIMAJUKUMU. KUSOMA HUJUI HATA PICHA HUONI
 
Majengo mengi sana ya Polisi yapo road, sasa kwa nn wasiweke mita kadhaa mbali na barabara? Sio lazima majengo yao yapigwe X ndio watu tujue kuwa hapa ni polisism. Sioni sababu ya wao na barabara kuwa pua na mdomo ww wafagilie tu but it's insane
 
Hii sheria hatumiki polisi tu. Ni popote pale penye bendera ya taifa[mashule na kwenye ofisi za umma] au wakati wimbo wa taifa unaimbwa. Hukumu ni miezi 18. Sasa jaribu siku moja upite shuleni wakati bendera inashushwa halafu awepo mtu mwenye uwezo wa kusimamia hiyo sheria ndio utajua kama natetea polisi au naatamia polisi.
 
Taasisi nyingi huwa wanaimba na nyimbo ya Taifa,hivyo hata kama haukusikia signal(filimbi au kengere) kupitia sauti ya wimbo mtu atasimama. Sasa hawa jamaa wanatumia filimbi then kimyakimya kuna njia za vichochoro na huna ABC yoyote mara paaap umetokea kwa nyuma kumbe wanashusha bendera. Aisi ni noma sana mzeiyaa then why only bicycle and pedestrian?
 
Naona ulazimisha lawama zidi ya polisi. Taja Taasisi hata moja ambayo huimba wimbo wa Taifa wakati wa kupandisha bendera tofauti na shule za msingi na sekondari. Tena shuleni ni asubuhi tu jioni pyeeeeeeeeeeeeeeeeee. Kama kitu hatujui tukubali hatujui sio kulaumu
 
Shule ile jioni wanaimba pia kwa primary lakini na hata hivyo geography yake inakufanya umekuwa mbali sana zaidi ya mita 300 na Taasisi nyingi zinajitenga kimtindo na interaction ya watu.
 
Zinajitenga kulingana na majukumu ya kikazi. Ila nyingi zipo kwenye makazi ya watu mfano ofisi ya mtendaji. NAJUA TATIZO LAKO NI POLICCM. TUILINDE KATIBA TUSIWE KAMA WAO
 
Back
Top Bottom