Mtaani kwetu kuna kituo cha polisi tena barabarani kabisa hadi mjengo wao umepigwa X na TANROAD. Upo senta sehemu ambayo watu wanamove freely and openly. Kuna kipindi watu hawajasikia filimbi since someone walking down street minding his/her own business. Au Matatizo ya Masikio na hawa jamaa wakishakuona wanakudaka ile paapa Kunja ngumi kwenye kokoto sehemu ambayo kila mtu anakuona na maneno machafu kibao. Hapa hawaangalii upoje,tena kama umeuchomekea ndio kabisa watakudhalalisha hadi uumbuke. Swali la kwanza ww umesoma?
Juzi rafiki yangu alidakwa yaani yy hakuisikia filimbi ya kwanza maana alikuwa anatembea tokea mbali (filimbi inaimbwa yy yupo mbali) sasa ile ya kutembea yy anasimama. Aisee alishambuliwa kama nyuki na mzinga vile.
Hapa nkakumbuka why wanafanya hivi?