Dalton elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 373
- 829
sheria kandamizi zinavyo wabana wanafunzi wa vyuo vikuu kujihusisha na masuala ya kisiasa pindi wanapokuwa katika masomo yao
Sheria zilipo zinazatoa muongozo kwa wanafunzi kujihusisha na masuala ya kisiasa pindi kunapokuwa na uchaguzi wa nafasi mbalimbali katika ngazi ya uongozi ambao hutoa wigo mdogo sana wa mwanafunzi kuelewa masuala ya kisiasa kuendelea na kuwa wakomavu Zaidi
Kuruhusu wanafunzu kujihusisha na siasa vyuo vikuu kutaongezeka kujiamini kwao na kuweza kufanya maamuzi pindi wanapomaliza vyuo na kuwa uzoefu ambao hutapelekea kuwa kizazi ambacho kitaleta mabdiliko katika jamii ya watanzania na kutuondosha katika wimbi la umasikini kwa ujumla
Emmanuel Madoshi mkazi wa Mwanza amesema kuwa wanafunzi wanatakiwa kuandiliwa vyuoni na kupewa hamasa ambayo itakuja kuwa chachu kwa wanafunzi hao pindi wanapo maliza masomo yao
Pia amesema kuwa”kuwaruhusu vijana katika masuala ya kijamii hutoa nafasi kwa vijana hao kutoa mawazo chanya amabyo yanaweza kulisaidia taifa pindi wanapo kuwa wamekumbana na mitikiso ambayo inatakiwa kufanyia kazi
Hamad Issa mwanafunzi wa chuo kikuu cha SAUT amesema kuwa kunapaswa kuwa na jicho la jitihada kuhakikisha vijana wanafundishwa political sciences ambayo huwajengea utashi wa kuweza kungamua mambo ambayo yanahusu siasa na teuzi mbalimbali katika serikali
Pia amesema kuwa kwa mjibu wa sheria ya SAUT inaeleza kuwa mwanafunzi haruhusiwi kujihusisha na masuala ya kisiasa isipo kkuwa kama kuna uchaguzi ambao utakuwa kwa ajili ya kuwachagua viongozi mbalimbali katika ngazi tofauti za vyuo vikuu akiwemo Raisi wa chou na viongozi mbalimbali
Flora Emmanuel mkazi wa Mwanza buhongwa ameeleza kuwa kuwapa fursa vijana wanao chipukia katika siasa puindi wanapokuwa vyuoni huwajengea uzoefu wa kuzungumza mbele za watu na kuweza kuhoji juu ya mambo ambayo hufanywa na serikali kuu kwa namna tofauti
Na katika hatua nyingine ametoa msisitizo wa kuwepo kwa ushirikishwaji wa vijana katika makongamano ambayo hutaa hamasa kwao kwa namna ya kiutofauti na kukutana na watu ambao watawapa hamasa ya kujituma Zaidi
Kumekuwa na mifano kadha wa kadha juu ya vijana ambao walipewa nafasi pindi waliokuwa vyuoni waliweza kufanya vizuri zaidi katika nyanja zan kisiasa akiwemo john pambalu ambaye leo ni kingozi wa BAVICHA Taifa Pamoja na John Heche ambaye zamani alikuwa mbunge katika Bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania
Pia flora Emmanuel amesema kuwa vijana wana haja kupewa mafasi ya upendele katika teuzi mbalimbali ambao zimekuwa zikifanyika ili kuwajengea uzoefu katika kufanya kazi na kutoa hamasa kwao
James Ephraimu ambaye ni mkazi wa mwanza amebainisha kuwa kunatakiwa kuwepo kwa muungano wa vyama vya kisiasa ambavyo vinafanya vizuri Zaidi akitolea mfano UVCCM Pamoja na CHASO ambavyo kwa namna moja huleta ushiriki wa wanafunzi katika ngazi mbalimbali
Kama tukiweza kujenga kizazi kitakuwa na umoja na uzalendo basi kutakuwa na taifa ambalo viongozi wake mbeleni watakuja kufanya mambo ambayo taifas litakuja kujivunia na kuleta maendelea kwa namna moja amna nyingine ....

Upvote
1