Sheria kuu 5 kwa mwanaume

Sheria kuu 5 kwa mwanaume

Hiyo namba nne ya single mama madhara yake Yanakuja pindi mwanao wa Damu akiwa mkubwa alafu ukamzingatia Mambo fulani ya kiuchumi. Razima watoto wa single mama wamfanyie fitina mbalimbali.
 
Usioe asiye na hofu ya Mungu na ambaye akili yake imejaa tope.

Ila hiyo point ya kwanza mantiki yake ni nini?
Hakika, allah pekee ndio Mungu wa kwel wa kustahil kusujudiwa, enyi makafir, geukeni kwa mola wetu mtukufu na mtume wake M.S.A mpate kuiona nuru na raha ya pepo allah alioiweka kwa mwanamke
 
Ukuzifuata hizi Sheria hutokaa ufeli in life

1: Usifanye kosa la kuoa au kudate mwanamke asie na chanzo maalumu cha kipato. Yaani mwanamke hana kazi wala ka kibarua Cha umpa miambili mia tatu za kujiendesha yeye kama yeye achana nae kebisa hafai ni mzigo

2: Usije uka msamehe mwanamke msaliti, hii nitairudia kwa herufi kubwa USOJE UKAMSAMEHE MWANAMKE MSALITI,

3: Kama una watoto usiache kupima DNA ,ni muhimu mnooo,

4: Usije ukaoa single mother , awe baba mtoto yupo hai au amekufa, ova

5: Ukimuomba mwanamke umuoe akasita kukubali hata kwa dakika au sekunde achana naye na usije ukaomba tena tafuta mwingine

Hizi ni nguzo tano kama zile nguzo nyingine hakikisha unazifuata kama unayapenda maisha Yako,

Nyongeza ni kuwa epuka wanawake wanye itikadi za kifeminist,
Nakaziaaa....
 
Back
Top Bottom