Sheria Kuu Kumi za Ulimwengu na Akili (10 Laws of the Mind and Universe/Universal Laws)

Duu... nimefunguliwa kiasi flan!! Ata akili yangu ina sheria kumbe!!@

Akili yako ni Mgodi mkubwa sana wa Ufahamu. Usiache kuichunguza akili yako kwa kuangalia na maisha yako.
Nimefurahi sana kwa kuwa umeelewa kiasi fulani, ni sehemu ambayo utazidi kufunuka ukizidi kuchunguza zaidi baada ya kuelewa.
 
Niliandika mimi kwa kiswahili katika kujifunza vyanzo tofauti tofauti. Sijaandika ya kingereza kwani nilipenda watumiaji wa kiswahili waielewe vyema, kwani hao ndio walengwa wangu hasa.

Sawa mkuu nashukuru....ngoja niisome maana niliipitia tu juu juu.... siku hizi naonaga uvivu kusoma mada za Kiswahili hasa zikiwa ndefu kidogo nahisi ninamajini ya kizungu
 

Another useful post from Apollo...

Received_with thanks mkuu.
 
HAKIKA! sijapata kuona mwalimu mzuri, mpole,mcheshi, mwenye hekima, busara, anayejua nini amfundishe mwanafunzi, asiyekuwa mchoyo wa maarifa aliyo nayo nk: niishie tu kwa kusema kuwa wewe ni mwalimu mwema. Kwa jinsi nimesoma kwa utaratibu sana yameniingia kweli kweli. Kumbe kwa kusoma tu haya unakuwa na uwezo wa kumtazama mtu na ukajua mawazo anayowaza. Shukrani sana mkuu.
 
Apollo sheria ya 2, 3, 4 etc vipi tunazingoja kwa hamu kubwa sana!
 
Last edited by a moderator:
Naomba kila uandikapo makala/ishus fikirishi kama hizi ukumbuke kum mention mtu anaitwa UNDENIABLE ni fan mkubwa sana wa hizi fikra fikirishi!

Ubarikiwe tena!

Kwanza ubarikiwe mkuu Appolo kwa mada adimu na za thamani kama hizi,

Naomba ku declare interest na mimi mkuu usinisahau ili twende wote,japo sii kazi yako lakini utukumbuke mkuu

Long live jamii forum na wakuu wote kama wewe.
 
just reward of the nature caused by your own effects, can be both -ve/+ve.........hope nimekuchanganya zaidi!

helpline kwa: Apollo

Siku ukianza kufundisha karma tafadhali tag me..

nasoma mada zako,napenda unavyofundisha ni elimu nzuri.
 
Hizi mada zinanihamisha toka fikra moja kwenda fikra nyingine. Asanteni sana watoa mada.
 

Kwamba karma yang ikiwa safi italudi sehemu nliokuwa kabla ya kuzaliwa ni wapi uko .....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…