Sheria mpya za TCRA : Vipindi vya mapenzi kama Ala za Roho na Chombeza Time kuanza saa 6 usiku

Mkuu tulia utafakari kidogo, kazi maana yake nini?

Kazi ya mwanamichezo ni kucheza. Mbona huoni kuwa ni tatizo vyombo vya habari kurusha habari wakati wa kazi? Kwa nini watu wakasome wakati wa kazi? Kwa nini watu wasafiri wakati wa kazi? Kwa nini watu watibiwe wakati wa kazi? Nk nk

Ukiitafsiri kazi kwa akili yako hapo juu, utapata ujuha bure... shirikisha ubongo.
 
Kuna kitu kinaitwa PG Settings.... wangewaacha wazazi wawasimamie watoto wenyewe, hakuna mtu anaefanya kazi day na asikilize redio saa sita za usiku, huyo atawasumbua majirani na utendaji wake wa kazi kesho yake utakua ni wakusinzia......sijui lini Nzengo itaamka na kufunguka kiakali kuhusu sheria kama hizi.........too much Restrictions itakua shida...hawa watu hatukuwachagua ili wakatunyime kila kitu ilihali wao wanafaida kila kitu...ukipita usiku kwenye mahotel na mabar unakutana na STL na STK zimepark.....nani anafuatilia ?
 
Iyo ala za roho kitambo kidogo nakumbuka diva na romy jones walikua wanaigiza kabisa sauti kama wanat@mbana live
 
Mimi ni msilikilizaji mzuri wa redio one hayo mambo ya mapenzi waliyafuta zamani hayana faida

Siku hizi usiku tunamsikilza zomboko na mziki mzuri wa dansi
Hayo maisha yenu ya miaka ya 80 hayo na dansi zenu msitake kutuletea aisee..
 
Sheria hizi zinaenda kuathiri makampuni kutokupata wazamini wa vipindi mbalimbali vya TV Na radio
 
Wewe taahira huwezi kunielewa.
 
Kuna station fulani ya mbele ilikuwa ikifika saa sita usiku wanaweka pilau kipindi hicho, Unapunguza sauti mpaka Zero unakomaa sebleni huku umeshika remote ili akitokea tu ubadili station au uzime chap mana X ilikuwa shida kupatikana
 
Kuna station fulani ya mbele ilikuwa ikifika saa sita usiku wanaweka pilau kipindi hicho, Unapunguza sauti mpaka Zero unakomaa sebleni huku umeshika remote ili akitokea tu ubadili station au uzime chap mana X ilikuwa shida kupatikana
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Kumbe sasa vinatakiwa kuanza saa 6 usiku badala ya saa 4 usiku , labda uchumi wa kati umesababisha watoto kuchelewa kulala .



Kuna miziki mingi ya kizazi kipya yenye maudhui ya hovyo zinapigwa kwenye vyombo vya usafiri vya public ambamo wanafunzi wengi wanakuwemo, nadhani ipo haja ta kudhibiti maudhui ya hovyo siyo kwenye TV na redio tu ila hata kwenye vyombo vya usafiri, kwenye migahawa, maduka nk
 
Tunataka vipindi vya kusifu jpm mpaka uchaguzi upite picha hizi hapa kuthibitisha raising ajae ni ccm kwanza na uchumi was kati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…