Sheria mpya za TCRA : Vipindi vya mapenzi kama Ala za Roho na Chombeza Time kuanza saa 6 usiku

Hiyo saa 6 ni kwa maeneo gan labda!? Maana kwa baadhi ya miji saa 6 bado ni mapema sana.

Et vipindi vya mapenzi viwe kuanzia saa 6!!!!! Mnasahau kuwa bado kuna apps, page na channel za mapenzi kwenye online platform ambazo zipo on mda wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…