Mnafunga bar kisa imeandikwa bandariNyerere enzi zake aliwaita wapinzani wake 'malaya'..
Busara na uvumilivu si kwa kila mtu
Haya ni majangiliWenye mamlaka ndio wanatuangusha mtu akikutolea maneno makali maana yake ni kuwa kuna ambalo limemchukiza. Sasa wewe hutaki utolewe nishai unataka usifiwe tu haijawahi kuwezekana kokote ulimwenguni zaidi ya bongo.
Hakuna justifications ya kuruhusu watu kuchochea ghasia kwa kigezo chochote kileWenye mamlaka ndio wanatuangusha mtu akikutolea maneno makali maana yake ni kuwa kuna ambalo limemchukiza. Sasa wewe hutaki utolewe nishai unataka usifiwe tu haijawahi kuwezekana kokote ulimwenguni zaidi ya bongo.
Rwanda ilipoteza sababu gani? Kwanini serikali isi bow down kutuliza tension? Wananchi ndio always wanatishiwa amani tu?Hakuna justifications ya kuruhusu watu kuchochea ghasia kwa kigezo chochote kile
Rwanda walipoteza 30% ya Raia wake wote 1994 ndani ya siku 90 tu kutokana na uchochezi kama huu wa Slaa na Wapuuzi wenzie, Taifa lenye watu 3 million lilipoteza watu million moja ndani ya miezi mitatu tu
Amani haina substitute
Hiyo sababu ndio inahalalisha kuua watu?Rwanda ilipoteza sababu gani? Kwanini serikali isi bow down kutuliza tension? Wananchi ndio always wanatishiwa amani tu?
Christopher Mtikila na sio JosephEnzi za utawala wa Mwinyi miaka ya 80, mwanasiasa machachari Joseph Mtikila alikuwa akimuita Rais Mwinyi ni ‘TX’ kutoka Zanzibar na aliwahi kumwambia arudi mwenyewe Zanzibar kabla hajarudishwa kwenye jeneza, hii ilikuwa kwenye mkutano wa hadhara viwanja vya Jangwani kwa waliokuwepo wakati huo watakumbuka.
Kutokana na matamshi hayo, hakufunguliwa kesi yeyote wala kuitwa kituo cha polisi wa kuitwa mhaini.
Kwani sheria za uhaini hazikuwepo, nini kilitumika BUSARA. Ingekuwa leo enzi za Samia ndio katamka hayo maneno nafikiri angenyongwa kabisa hadi kufa.
Sheria na Busara ni mapacha.
Unaonaje mkataba wa bandari??Hakuna justifications ya kuruhusu watu kuchochea ghasia kwa kigezo chochote kile
Rwanda walipoteza 30% ya Raia wake wote 1994 ndani ya siku 90 tu kutokana na uchochezi kama huu wa Slaa na Wapuuzi wenzie, Taifa lenye watu 3 million lilipoteza watu million moja ndani ya miezi mitatu tu
Amani haina substitute
Mkataba wa Bandari ni mbaya kwa maoni yangu na nishaandika sana maoni yangu kwny hoja husika sana tu mara nyingiUnaonaje mkataba wa bandari??
Umeupenda
Hana ufala wowote ni kweli imetokea😄We fala nin
Hivyo viclip vya kuungaunga na kutengeneza ndiyo uchochezi ?!.Hakuna justifications ya kuruhusu watu kuchochea ghasia kwa kigezo chochote kile
Rwanda walipoteza 30% ya Raia wake wote 1994 ndani ya siku 90 tu kutokana na uchochezi kama huu wa Slaa na Wapuuzi wenzie, Taifa lenye watu 3 million lilipoteza watu million moja ndani ya miezi mitatu tu
Amani haina substitute