inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Akawafunga vifungo vya nje,wengine aliwasuta kwenye mihadhara na wao wakiwepoNyerere enzi zake aliwaita wapinzani wake 'malaya'..
Busara na uvumilivu si kwa kila mtu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akawafunga vifungo vya nje,wengine aliwasuta kwenye mihadhara na wao wakiwepoNyerere enzi zake aliwaita wapinzani wake 'malaya'..
Busara na uvumilivu si kwa kila mtu
Slaa alitushauri kesi za namna hii tuiache dola ifanye kazi, alitoa ushauri huo kwny kesi ya Ugaidi ya Mbowe, nami nakushauri tufuate ushauri wa Mtuhuniwa UhainiSlaa ni haini au sio haini.
Hatuna matatizo na kutukanwa kwa kuwa wewe sio wa kwanza kunitukana tusi hilo na hutokuwa wa Mwisho …ushaona Mzaramo anaumia kwa kutukanwa ?Wewe ni mpumbavu kabisa, nenda mahakamani ukawasaidie wajinga wenzio kuthibitisha huo uhaini.
Boya linaelea kwa kuwa ndio ilikusudiwa kuwa hivyo