Sheria na Busara ni mapacha. Mchungaji Mtikila aliwahi kumwambia Rais Mwinyi ‘watamrudisha Zanzibar kwenye jeneza’, hakuitwa mhaini

Sheria na Busara ni mapacha. Mchungaji Mtikila aliwahi kumwambia Rais Mwinyi ‘watamrudisha Zanzibar kwenye jeneza’, hakuitwa mhaini

Screenshot_20230816_173725_Adobe Acrobat.jpg

Ukiyasoma makosa ya Uhaini kama yalivyoandikwa hapa kwakweli ni kuwa makini tu

Katiba ya Chama kimoja haiwezi kututendea haki sisi Wapinzani dawa ni KATIBA MPYA
 
Slaa ni haini au sio haini.
Slaa alitushauri kesi za namna hii tuiache dola ifanye kazi, alitoa ushauri huo kwny kesi ya Ugaidi ya Mbowe, nami nakushauri tufuate ushauri wa Mtuhuniwa Uhaini
 
Wewe ni mpumbavu kabisa, nenda mahakamani ukawasaidie wajinga wenzio kuthibitisha huo uhaini.
Hatuna matatizo na kutukanwa kwa kuwa wewe sio wa kwanza kunitukana tusi hilo na hutokuwa wa Mwisho …ushaona Mzaramo anaumia kwa kutukanwa ?

tatizo ni kuchochea ghasia, wengi tu wamemtukana Rais na hawajaguswa, ila ukichochea ghasia lazima usuguliwe. Mdude anamtukana kila siku Rais na hajaguswa, ila kachochea Ghasia na sasa anachochewa Gerezani

Kumtukana Rais ni jambo la Kiserikali na linavumilika, kuchochea ghasia na uhaini ni jambo la Kitaifa hata kama Rais akivumilia Dola haiwezi kuvumilia kwa kuwa hasara yake ipo kwa wote hata wasio kwny hiyo Serikali wala Siasa
 
Mwniyi alijua maana ya uongozi kwa sababu alichaguliwa na wananchi tofauti na huyu ambaye yeye hakutarajia kuwa rais.yaani ameangukiwa tu na hiyo nafasi.uchungu wa Mali za umma hawezi kuzithamini na akitokea wa kupinga namna alivyopanga ananuna na kubambika kesi
 
Hata kwenye ndoa wanawake ni wasumbufu. Sishangai Samia kuwa dikteta uchwara
 
Back
Top Bottom