Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Kwa kasi ya ukuaji wa teknolojia kwenye tasnia ya magari, self driving cars sio muda itakua kitu cha kawaida.
Kwa nchi za wenzetu, wameshajipanga kwa ilo na kua na sheria na miongozo mbalimbali ya self driving cars.
Wana sheria zitakazo solve migogoro endapo itatokea ajali, kutakua na insurance claim endapo gari linalojiendesha likasababisha ajali nk.
Je, sio muda wa sheria na kanuni zetu kufanyiwa marekebisho au mapitio?
Maana hazizuii wala hazitambui magari yanayojiendesha kwa level yoyote kuanzia supervised self driving au fully self driving.
Ukigoogle search self driving cars USA yanakuja magari yanayojiendesha mfano Waymo, Tesla nk.
Ila ukigoogle search self driving cars Tanzania unaletewa magari ya kukodi 4*4 ya Mbugani ambayo unakodi na kuendesha mwenyewe kwa $50/day.