Sheria na taratibu za kuasili (Adopt) mtoto Tanzania

Sheria na taratibu za kuasili (Adopt) mtoto Tanzania

Amina! Tupo pamoja.......Mungu akusaidie uwakumbuke ndugu zako walio maskini zaidi kuliko hao uliokuwa unawawaza wa-kuadopt

Ndugu labda umchukie akiwa mdogo sana hajui chochote ila kama kakua kidogo ni shida chochote utachomfanyia ni lawama tu hawaridhiki kisa tu ni ndugu. Smtime bora mtu usiyemjua kabisa
 
sina matatizo yeyote ya kuzaa na siku moja nitakuja kuzaa muda utakapofika!

avatar21903_7.gif

Bora umesema ya moyoni maana hata mm nilikuwa najiuliza kwanini utumie hiyo avartar
Bodo MUNGU ni mkubwa kunasiku utafanikiwa kupata mtoto wako haswa wakumbeba tumboni miezi 9 na hapo wa kum-adopt utamsahau na kumfukuza,
Au kwa hapa kwetu TZ hao watoto huwa wanarudi kwao wakiwa wakubwa hivyo watakuzidishia machungu

KM kweli una tatizo na kupata mtoto wako niPM nikupe No ya DR yupo hapa Dodoma wenzako wanatoka Zanzibar, Lamu Lusaka na baada ya mwaka wanarudi na vichnga kuja muonesha kuwa wamejaaliwa
 
Ndugu labda umchukie akiwa mdogo sana hajui chochote ila kama kakua kidogo ni shida chochote utachomfanyia ni lawama tu hawaridhiki kisa tu ni ndugu. Smtime bora mtu usiyemjua kabisa

Ukiwa mzazi lawama ni kitu cha kawaida sana......huwezi kuwa mzazi bila kukosa lawama.....labda uwe legelege....!

Pili, hawa yatima wetu si wana extended families.......sasa wewe kama mmoja wa ndugu unaonaje ukianzia kuangalia watoto wa ndugu yako? Hawa tunaowaona kwenye nyumba za yatima wamefika hapo kwa sababu ya opportunity lakini kuna wengi zaidi tunaishi nao vijijini......!

Tatu, ni jambo zuri kusaidia yatima lakini sio watoto wote wanaofanyiwa adoption ni lazima wawe yatima....! Sasa kama lengo ni kusaidia yatima ni sawa ila kama ni adoption ni sawa pia........tunapochanganya inakuwa shida kidogo....sometimes ni sawa na kusema unataka kumuoa msichana kwa vile unamuonea huruma unataka kumsaidia....kha!!!!!
 
Kwetunikwetu,
mi aongelea kuna watoto wapo vituoni hata hawana ndugu kabisa hana baba wala mama, mjmba wala shangazi hajui mtu yoyote huyo ndo namtka hao ndugu zng na wenyewe si wanazo extended family bora huyuambaye hajui hata aliktokea,
 
Mambo zenu jamani naombeni msaada kujua taratibu gani zinatakiwa kufatwa au kufanywa ili mtu aweze kuasili mtoto
Nina shida ya kuasili mtoto wa kike wa mwaka mmoja au wa miez 5
Asanteni
 
kucha zako na za mtoto zinakatwa halafu zinasagwa zanachanganywa na maji halafu mnakunywa
 
Mambo zenu jamani naombeni msaada kujua taratibu gani zinatakiwa kufatwa au kufanywa ili mtu aweze kuasili mtoto
Nina shida ya kuasili mtoto wa kike wa mwaka mmoja au wa miez 5
Asanteni
Nenda kamuone afisa/ofisi ustawi wa jamii wa manispaa/halimashauri unayoishi, kaanzie hapo.utasaidiwa 100%/
 
Mambo zenu jamani naombeni msaada kujua taratibu gani zinatakiwa kufatwa au kufanywa ili mtu aweze kuasili mtoto
Nina shida ya kuasili mtoto wa kike wa mwaka mmoja au wa miez 5
Asanteni
Andika barua ya kuomba Mtoto wa kumlea sio kuasili, kisha nenda nayo halmashauri ya wilaya uliyopo baada ya hapo utajibiwa na kwenda kuhojiwa zaidi, andaa wadhamini wawili ambao ni ndugu,na Wawili wanaofanya kazi serkalini mengine utayakuta huko baada ya miezi mitatu ndio unaomba kuasili.
 
Andika barua ya kuomba Mtoto wa kumlea sio kuasili kisha naenda nayo halmashauri ya wilaya uliyopo baada ya hapobutajibiwa na kwenda kuhojiwa zaidi, andaa wadhamini wawili wakiwa ndugu na Wawili wanaofanya kazi serkalini mengine utayakuta huko baada ya miezi mitatu ndio unaomba kuasili
Sawa mkuu apo nimekupata vizuri process zote naanza baada ya krismass
 
Ukifanikiwa nijuze mie mwnyw mahitaji niliishia njiani
Usihofu mkuu kwasababu ya matatzo yangu ya uzazi hope nitalifanikisha kwa bidii
Am tired kuonewa,kusengenywa nk duh
Sir God atanihelp kwenye ili duh
 
Kwanza uwe kwenye ndoa. Second uwe na wadhamini wawili wenye ndoa. Ukiwanao hao tayari nenda manispaa kitengo cha ustawi wa jamii utapata maelekezo yote. Upo wilaya gani wewe?
 
Back
Top Bottom