Sheria Ngowi umetuweza mwaka huu

Nasikia Ile Misukule Ya jezi Za zamani ndo imeingia ndani kwenye Mijengo inayoonekana jezi Za Mwaka huu...!

Kitu ambacho sina hakika nacho ni iwapo harufu itakuwa imeisha..!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siku zikiletwa jezi za Simba, Yanga nao waje wakosoe kama mnavyofanya bila akili. Aziz Ki kaonyeshwa kwenye video si kwa sababu jina lake liko kwenye jezi. Ameonyeshwa kwa sababu yeye ndo ametumika kama Modo kuitangaza jezi, muwe mnaelewa.
Sasa unalia nn wee?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Byuti byuti.
 
Kama sio mbunifu wa mavazi haswa wale wa prints au msanii wa uchoraji, huwezi ielewa jezi ya Yanga...

Kwangu mimi ukiweka ushabiki pembeni, jamaa katumia akili sana kwenye ubunifu, kuna kitu kidogo tu naona alipaswa arekebishe kwenye hiyo ya kijani, hayo majengo alipaswa kuyafifisha kidogo...yaani ukiitazama jezi uanze kuiona jezi then ndio ifuate hiyo artwork

Idea hiyo hiyo ya jezi wameifanya Nike kwa away au third kit ya Barca
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] madekio hoyeeeeeeh!!!!
 
Siyo mbaya mkisubiria zile za kudesa kila kitu kutoka kwa akina Arsenali na Man U.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…