Sheria Ngowi umetuweza mwaka huu

ubunifu oyeeeeee
 
Upo sahihi kabisa....

mwana uto...ambaye hajaona jengo la nyumba anayoishi kwenye hii jezi ya kijani,ruksa kupeleka malalamiko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu weuweeeeeeeee!!!!!!
 
Manara alishasema Sasa, akili za kumuelewa ngowi umezitoa wapi?
 
haa kwenye jezi nimeona makaburi ya kinondoni[emoji28][emoji23]
 
Je'unahitaji nyumba au fremu ya biashara?,kwa msaada zaidi fika Avic town[emoji16][emoji28][emoji23]
 
Je'unahitaji nyumba au fremu ya biashara?,kwa msaada zaidi fika Avic town[emoji16][emoji28][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hamza wa ubalozini huyu hapa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wamemuenzi, woiiiiiiiiiih

Byuti byuti.
 
vinyesi oyeeeeeeee
 
Kwenye Press yao walipoanza kuelezea utadhani inakuja jezi ya maana,walipoonyesha kuna wana Yanga nilikuwa nimekaa nao wakapoteana gafla
Yanga ina zuri kwako? hata ingekua aje hio jezi ungesema mbaya
 
Kwenye Press yao walipoanza kuelezea utadhani inakuja jezi ya maana,walipoonyesha kuna wana Yanga nilikuwa nimekaa nao wakapoteana gafla
Unachoongea na picha iliyoko kwenye profile yako ni tofauti jaribu kuwa na class unaweza ukawa unaichukia sana Yanga lakin kamwe Ile jezi Yao haiwez kuwa takataka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…