Sheria Ngowi umetuweza mwaka huu

Kubaabeki jezi ina nyerere, mwenge, mnara wa saa magorofa, minazi, nanga za mabaharia boti, mende, matawi ya miarobaini daah......
 
Acheni chokochoko jezi mbona kali tu hizo
 

Attachments

  • FB_IMG_16590396684637591.jpg
    25.9 KB · Views: 5
Jezi za mwaka huu ni mbaya hasa hiyo ya kijani kiufupi badilisheni jezi hakuna biashara hapo
 
Mm vile vikaragosi na mbwembwe zao sijashangaa kabisaa ila ile mikora aisee iv karne hii unaweka ile mikora mipana kama chapati
 
Jezi ya kijani walirekebishe aisee.....
Maghorofa ni mengi sana, wachezaji wetu watakuwa wabashindwa kukimbia sababu ya uzito wa maghorofa ya kwenye jezi.
 
Fatilia vitu siyo unalopoka jezi imebebaa vizazi kadhaaa toka malegend had kizazi cha sasa ndiomana aziz ki yupo pale maana n moja ya kizazi cha sasa
 
Mkuu washabiki ambao ndio wateja wa hizo jezi hawana mpango na hizo unazoziita idea< wanachoangalia ni kuvutia kwa jezi. Kwa ufupi hazivutii, na Sheria Ngowi tumemshtukia, ni Simba damu huyu
 
Kwenye Press yao walipoanza kuelezea utadhani inakuja jezi ya maana,walipoonyesha kuna wana Yanga nilikuwa nimekaa nao wakapoteana gafla
[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…