Sheria Ngowi umetuweza mwaka huu

Sheria Ngowi umetuweza mwaka huu

Kubaabeki jezi ina nyerere, mwenge, mnara wa saa magorofa, minazi, nanga za mabaharia boti, mende, matawi ya miarobaini daah......
 
Acheni chokochoko jezi mbona kali tu hizo
 

Attachments

  • FB_IMG_16590396684637591.jpg
    FB_IMG_16590396684637591.jpg
    25.9 KB · Views: 5
Jezi za mwaka huu ni mbaya hasa hiyo ya kijani kiufupi badilisheni jezi hakuna biashara hapo
 
kwakweli mgema akisifiwa Sana tembo hulitia maji Sina la kusema jez zinatisha hazitamanishi hata

Si kwa ubaya viongoz wa yanga mnaweza badilisha jez hazna mvuto n kituko

Vivutio vya kihistoria yamekuwa Kama makaburi kwakweli

Tunatishana kabla hatujafa
Mm vile vikaragosi na mbwembwe zao sijashangaa kabisaa ila ile mikora aisee iv karne hii unaweka ile mikora mipana kama chapati
 
Jezi ya kijani walirekebishe aisee.....
Maghorofa ni mengi sana, wachezaji wetu watakuwa wabashindwa kukimbia sababu ya uzito wa maghorofa ya kwenye jezi.
 
Fatilia vitu siyo unalopoka jezi imebebaa vizazi kadhaaa toka malegend had kizazi cha sasa ndiomana aziz ki yupo pale maana n moja ya kizazi cha sasa
 
Kama sio mbunifu wa mavazi haswa wale wa prints au msanii wa uchoraji, huwezi ielewa jezi ya Yanga...
Kwangu mimi ukiweka ushabiki pembeni, jamaa katumia akili sana kwenye ubunifu, kuna kitu kidogo tu naona alipaswa arekebishe kwenye hiyo ya kijani, hayo majengo alipaswa kuyafifisha kidogo...yaani ukiitazama jezi uanze kuiona jezi then ndio ifuate hiyo artwork

Idea hiyo hiyo ya jezi wameifanya Nike kwa away au third kit ya Barca
Mkuu washabiki ambao ndio wateja wa hizo jezi hawana mpango na hizo unazoziita idea< wanachoangalia ni kuvutia kwa jezi. Kwa ufupi hazivutii, na Sheria Ngowi tumemshtukia, ni Simba damu huyu
 
Back
Top Bottom