Sheria tatu za kutumiana Meseji

Sheria tatu za kutumiana Meseji

Huo ndo mfumo kwa magentle wote duniani.
Akijibu ndani ya muda flani ongeza mara mbili mbele.

Akijibu ndani ya dakika 1 jibu ndani ya dakika2,2-4
Siku moja kwa siku mbili,week moja kwa week mbili etc.
 
Huo ndo mfumo kwa magentle wote duniani.
Akijibu ndani ya muda flani ongeza mara mbili mbele.

Akijibu ndani ya dakika 1 jibu ndani ya dakika2,2-4
Siku moja kwa siku mbili,week moja kwa week mbili etc.
Nimeipenda hii,halafu atajikuta mwenyewe ana fall in love,anajiuliza huyu mwamba yupo tofauti sana

Iko hivi ukiwafukuzia sana wanawake huwa wanakuwa mbali na wewe kwakuwa wanaboreka hlf wanakuona upo desparate,so act kama uwepo wao sio ishu kwako,be a legend
 
Imeisha
 
ebu jaribu kujitathimini namna ya kuwa aproach,kwasababu kukataliwa ni jambo la kawaida ila ishu inakuja je unakataliwa mara ngapi

ebu badilisha namna ya kuwaingia kwa maana tumia stahili tofauti uone itakuwaje
Mara nyingi huwa najiweka kilowprofile naish really I don't fake na ukiangalia wanawake wakubwa hawapend drama
 
Sheria tatu za kutumiana meseji au kuwasiliana na mpenzi wako,na hii ni mahsusi kwa wale ambao ndio wanaanza mahusiano

Sheria namba moja,je huwa ana kawaida ya kujibu meseji zako,kama huyo mpenzi wako ana utaratibu wa kujibu meseji ni sawa hapo unaweza kuendelea kumtumia meseji lakini huwa anazipuuza basi usimtumie meseji zako,na ni dalili tosha kwamba hayupo interested na wewe period

Sheria namba mbili, je huwa anatumia mda gani kujibu meseji zako,kuna yule mtu ukimtumia meseji huchukua masaa mawili hadi matatu kujibu meseji,basi nawe nenda nae sawa,akitokea kukutumia nawe nenda nae sawa vile kama anavyofanya,kama anajibu fasta nawe jibu fasta,kama baada ya dakika tano nawe hivyo hivyo,malegend tunaweza hilo ila vitoto vya elfu mbili najua hamnielewi

Sheria namba tatu, usitume meseji nyingine kama ya mwanzo haijajibiwa,maana kuna ile umetuma ya kwanza hola hakuna majibu unatuma nyingine,hapana hapo unafeli,kausha hata siku moja au mbili zipite,maadamu text ya kwanza haijajibiwa basi usitume nyingine

kama yeye anajifanya ni mtu muhimu sana hata wewe ni muhimu vile vile

Ni hayo tu!
tit for tat
 
Sio hawapo interested kuchat ila hawako interested kuchat na wewe trust me,upendo una nguvu juu ya kila kitu,hata kama hayopo hivyo ila atafanya kwa ajili yako
Binafsi yangu mambo ya kuchat si mdau, ukinitext ntakupigia.

Najua upendo una nguvu bt mimi hunipotezea mda zaidi kwenye call
 
bado mnatumiana jumbe fupi ndugu..hama izo zama za mawe mzee mwenzangu
Doktori fasihi andishi haina zama za mawe,ndio mfumo mzuri wa kuweka kumbukumbu kwahiyo hakuna kitakacho chukua nafasi ya maandishi
 
Binafsi yangu mambo ya kuchat si mdau, ukinitext ntakupigia.

Najua upendo una nguvu bt mimi hunipotezea mda zaidi kwenye call
Haina ubaya kikubwa umerespond kwa mwenzako,ndio jambo la muhimu tunalo zungumzia hapa,unaonyesha kujali
 
Mara nyingi huwa najiweka kilowprofile naish really I don't fake na ukiangalia wanawake wakubwa hawapend drama
Na ni vizur pia kwasababu mwisho wa siku utamvutia yule ambaye atakupenda kwa jinsi ulivyo na sio unajiweka high profile halafu mwisho wa siku hauishi maisha halisi,matokeo yake unaanza kupata stress
 
Na ni vizur pia kwasababu mwisho wa siku utamvutia yule ambaye atakupenda kwa jinsi ulivyo na sio unajiweka high profile halafu mwisho wa siku hauishi maisha halisi,matokeo yake unaanza kupata stress
Mkuu niliwah kupretend ety mm ni manager wa events planning creativity and design pale kwny hotel fulani kubwa kubwa🤣Kumbe muhuni naish mabibo

Sasa demu akawa anatoka tabata kubabake ananiambia nmlipie pikipiki awahi kufika kuliko kupanda gari maana jam kubwa sambili usku Ile watu wanarud majumbani nikawa natoboka ili
nioneKane kweli mshua aisee nilikua napata stress

naagiza hennesy kesho yake najilaumu kichizi mwishowe hayo maisha nilishayaachq nipo real
 
Dah mwanangu mimi mbona ni wote Sasa hawajibu mzee naweza omba demu baadaye nashangaa nimekula block
Unakipato kidogo? Unasura kama bakuli ya bati? If yes basi achana na mapenzi,jikite kwenye palizi au biashara ya mbao
 
Back
Top Bottom