BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
AaahaaaDah we dawa yako ni supu tu
Anataka watu wawe wanafanya madeko uwanjani [emoji3]Anayeshinda apate points 3, anayetoa sare apate points 2?.
Sare ni sare, point 1 inawatosha.
Asante kwa kuleta hoja fikirishi!! Mimi naamini lengo la mpira wa miguu ni magoli!! Ili kuongeza kiu ya kufunga magoli napendekeza ifuatavyo:Wakuu mpo?
Naamini wengi tunaangalia mechi inayoelekea mwishoni kati ya Chelsea na Man City ila pia huenda tunnangalia mechi inayoendelea kati ya Lazio na Roma ambayo huenda ikaisha kwa suluhu ya 0-0.
Hivi kwa logic ya kawaida ni sahihi Chelsea na Man City walifungana 4-4 wapate point moja moja sawa na Lazio na Roma ambao huenda wakatoka 0-0?
Kwanini game za moto kama hii ya Chelsea na City wasiwe wanapewa point 2 na hii inayoisha 0-0 wakapewa point 1?
Hili sio sawa inashinda 5-1 unapewa point sawa na alishinda 1-0Hujawaza kuhusu anaeshinda 6-0 kupata point tatu, sawa na anaeshinda 1-0?
Sijawahi kubet toka hizi mambo zianzePole sana mkuu, umezunguka sana ila wazee wa mikeka tumekuelewa
Sijawahi kubet hua naona tu kwa wadauUngeweka over 3.5 kulikuwa na odd 9 ungekula pakubwa
Sijawahi kubetAcha kubet mkuu maana inawezekana betting ndio inakuumiza wakati timu ambazo umezibet zinapodondosha point