Sheria ya Faini ya Millioni 50 kwa kila chombo kilichopata ajali na Fidia ya Millioni 500 kwa kila kifo, ajali zote zingeisha ndani ya siku moja

Sijui kama kuna somo la udereva ambalo linaelekeza kwamba njia ikiwa nyembamba dereva apate ajali,dereva aliesoma na anaejua udereva lazima ajue kabisa hapa niendeshe vipi gari,wapi niwe mwendo wa kinyonga,wapi nipite mwendo wa duma.
Mimi naongelea moja ya chanzo cha ajali. Siongelei somo la udereva.

Unafikiri kuendesha mwendo wa kinyonga barabara kuu ndiyo kutakuepusha na ajali! Vipi akitokea mtu akatanua upande wako na kukusababishia ajali? Na hiki ndicho kitu kinachotokea kwenye hizo barabara ambazo hazijatanuliwa, na huku zikiwa na idadi kubwa ya magari yanayopita kila siku.
 
Mkuu upo sahihi kabisa ila faini kubwa inaweza kumfanya dereva aendeshe kwa umakini hata kwenye barabara mbovu. Kinachotakiwa dereva ajue kwamba akiingiza gari yake barabarani ikahusika na ajali yoyote ajue kitu kinacho fuata.
 
Hili Haliwezekani.
Tena linaweza ongeza tatizo. Watu watachukua magari kwa siri wajaze watu wao humo wayapindue. Kuna Fidia M500? Hii nchi kuna watu hawajawahi kushika Tsh 100,000 mkononi. Kuna sehemu ukifunga kijiji kizima ukawaambia ili uwafungulie waje na Tsh 5,000,000 watapekuwa kila kitu na isijae. Sasa utoe dili la M500?
 
Hiyo ndio reality, mleta maada anaongea nadharia tu
1000023306.jpg
 
Hiyo ndio reality, mleta maada anaongea nadharia tu
View attachment 3236754
Heche hajakosea, tena 20,000/= nyingi. Ikija pap bila taarifa wala kujiandaa tukaambiwa kiingilio ni 2,000 na hapo hapo ulipo ivute kwenye simu au bank au cash bila kuomba msaada, wengi tu watabaki tena wengine wa mjini kabisa DSM.
 
99% hawana uwezo kulipa hizo fine, ruhusu insurance companies uwezo wa kuuza au kutouza insurance kutokana na record ya dereva , na kila dereva lazima awe na insurance kama huna fine au jela, hapo automatically insurance companies zitasaidia kuchuja madereva wabovu na ajali zitapungua
 
Back
Top Bottom