Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
- Thread starter
-
- #21
Ajali lazima ziishe, uzi umegusa kila nyanja.Hoja sifuri,kelele mia
Uzi umegusa kila nyanjaMkuu kabla ya kuweka uzi umekunywa k vant ngapi
We uliskia wapi ajali zinaishaAjali lazima ziishe, uzi umegusa kila nyanja.
Mimi naongelea moja ya chanzo cha ajali. Siongelei somo la udereva.Sijui kama kuna somo la udereva ambalo linaelekeza kwamba njia ikiwa nyembamba dereva apate ajali,dereva aliesoma na anaejua udereva lazima ajue kabisa hapa niendeshe vipi gari,wapi niwe mwendo wa kinyonga,wapi nipite mwendo wa duma.
Mkuu upo sahihi kabisa ila faini kubwa inaweza kumfanya dereva aendeshe kwa umakini hata kwenye barabara mbovu. Kinachotakiwa dereva ajue kwamba akiingiza gari yake barabarani ikahusika na ajali yoyote ajue kitu kinacho fuata.Mimi naongelea moja ya chanzo cha ajali. Siongelei somo la udereva.
Unafikiri kuendesha mwendo wa kinyonga barabara kuu ndiyo kutakuepusha na ajali! Vipi akitokea mtu akatanua upande wako na kukusababishia ajali? Na hiki ndicho kitu kinachotokea kwenye hizo barabara ambazo hazijatanuliwa, na huku zikiwa na idadi kubwa ya magari yanayopita kila siku.
Ajali zetu zinazotakana na uzembe wa maderevaWe uliskia wapi ajali zinaisha
Hiyo ndio reality, mleta maada anaongea nadharia tuHili Haliwezekani.
Tena linaweza ongeza tatizo. Watu watachukua magari kwa siri wajaze watu wao humo wayapindue. Kuna Fidia M500? Hii nchi kuna watu hawajawahi kushika Tsh 100,000 mkononi. Kuna sehemu ukifunga kijiji kizima ukawaambia ili uwafungulie waje na Tsh 5,000,000 watapekuwa kila kitu na isijae. Sasa utoe dili la M500?
Heche hajakosea, tena 20,000/= nyingi. Ikija pap bila taarifa wala kujiandaa tukaambiwa kiingilio ni 2,000 na hapo hapo ulipo ivute kwenye simu au bank au cash bila kuomba msaada, wengi tu watabaki tena wengine wa mjini kabisa DSM.Hiyo ndio reality, mleta maada anaongea nadharia tu
View attachment 3236754
Yaan unasoma alafu inabiidi ukae utulie tulii😱 au mleta mada anajua magari yanauzwa kuanzia bilion 3Sasa faini m 50 Kwa m 500 ,hyo gari iliyogonga na kuua thamani yake itakuwa bei Gani🤔
Sibora waninyonge nikufe hyo fine silipiiSasa faini m 50 Kwa m 500 ,hyo gari iliyogonga na kuua thamani yake itakuwa bei Gani🤔
Yaani Watanzania ni wa ajabu.Sasa faini m 50 Kwa m 500 ,hyo gari iliyogonga na kuua thamani yake itakuwa bei Gani
Hapo sasa..Mmiliki anahusikaje na ajali iiyosababishwa na dereva
Hata kama wakawa makini kiasi gani ajali ni lazimaAjali zetu zinazotakana na uzembe wa madereva
Kuajili dereva asiye makiniMmiliki anahusikaje na ajali iiyosababishwa na dereva