Uchaguzi 2020 Sheria ya Gharama za Uchaguzi inasemaje? Nimepata mashaka baada ya CCM kufika Kigoma

Mungu akishakukataa kwenye ufalme hata uhangaike vipi huwezi kukaa kwenye kiti tena
 
Ujinga tena mwingine huu hapa?

Mnashindwaje kupiga picha?
Mfano sasa, Takukuru wataanzia wapi ili kujua kwamba kuna watu wanapewa tshet bule kigoma?
tisheti bure; usipige picha kama hauna leseni inayokuruhusu kurusha maudhui! Wapigie simu TAKUKURU wao wataenda kufanya upelelezi.
 
Hili swali halikuwahi kunifika mpaka mgombea urais wa CCM kufika Kigoma. Mambo yalikuwa hivi:

*Magari kama Coaster na mabasi yalikodiwa kuchukua wananchi kutoka vijiji mbalimbali. Nina rafiki yangu ambaye gari zake zote zilikodiwa kwa kazi hiyo!

* Wananchi wote waliopakiwa kwenye magari hayo kwenda kwenye uwanja wa kampeni waligawiwa tshirt na vipepereshu vya CCM bure!

* Boda boda walipewa T-shirt na namba ambayo waliitumia kujazia mafuta kwenye sheli!

* Wasanii hulipwa kiasi gani kwa mkutano mmoja? Kama kumbukumbu zangu ziko sawa, 2015 diamonda na alikiba walikuwa wanapata mil 15! Sijui na wasanii wengine mil 5 kwa mil 2 kulingana na ukubwa wao,sijui kwa sasa wanalipwaje.

* Nimeshuhudia msafara wa magari zaidi ya 60 katika msafara wa mgombea urais.

* Mengine unaweza ukaongeza wewe kama vifaa,chakula,posho za msululu wa watu nk.

Hivi kweli gharama za uchaguzi zinazingatiwa na kwa mujibu wa NEC. Gharama hizi zinapaswa zisizidi kiasi gani kwa mwaka huu wa uchaguzi?

Mbn unateseka sana?
We unatakaje kwa mfano
 
Mkuu kwenye sheria za Tume ya uchaguzi kuna form ya gharama za uchaguzi,au hilo hulifahamu?
Sidhani kama kuna idadi ya watu wanaotakiwa kuhudhuria mikutano ya kampeini..wanafikaje,kutokea wapi sio Kaz ya NEC.. pia hii mada haina mashiko kwani ata pasingekuwepo na limit still kuna vyama ata hiyo kidogo ya ruzuku hawatumii..na Kwa style inayoenda nayo CCM, kila Mwenyekiti wa Mkoa ndio anaandaa mkutano katika eneo husika, kwingine kote mgombea anasimama kituoni ndani ya gari na kuhutubia, kuhusu msululu wa magari hiyo ni Ngumu kwani hakuna Sheria inayosema magari ya watu wengine hayaruhusiwi kuwa barabarani au kuongozana na Mgombea wa chama Fulani Kwa mfano huwezi kumwadhibu Lissu Kwa kusindikizwa na msululu wa Pikipiki mpaka hotelini kwake.
 
Hii ni kweli?Mbona kama kidogo sana?
SASA kama ni billion 17, Magu ata 1b hajatumia na amezunguka almost 30% ya nchi..na meetings zake zote zinaandaliwa na local Branches, yeye ni kuweka mafuta,Kula,kulala, wafanyakazi wengine wote kama kina pole pole na Bashiru wanalipwa posho zao na chama kama kawaida, walinzi. Wasanii wanalipiwa logistics na department ya polepole. Yaani sidhani ata kama atatumia zaidi ya 5b katika mizunguko yake nchi nzima..pia kumbukeni ikishazidi saa 12 chochote anachofanya hafanyi kama mgombea au mpiga kampeini hivyo akienda kulala Ikulu ndogo ana save pesa nyingi. Kwakwel ukiona incumbent president anashindwa uchaguzi jua huyo Kiongozi alikua amechokwa na kila mtu.
 
Sasa katika maadili ya uchaguzi kwanini kuna kifungu cha gharama za uchaguzi?Kipo kama pambo tu?
 
Hili swali halikuwahi kunifika mpaka mgombea urais wa CCM kufika Kigoma. Mambo yalikuwa hivi:

*Magari kama Coaster na mabasi yalikodiwa kuchukua wananchi kutoka vijiji mbalimbali. Nina rafiki yangu ambaye gari zake zote zilikodiwa kwa kazi hiyo!

* Wananchi wote waliopakiwa kwenye magari hayo kwenda kwenye uwanja wa kampeni waligawiwa tshirt na vipepereshu vya CCM bure!

* Boda boda walipewa T-shirt na namba ambayo waliitumia kujazia mafuta kwenye sheli!

* Wasanii hulipwa kiasi gani kwa mkutano mmoja? Kama kumbukumbu zangu ziko sawa, 2015 diamonda na alikiba walikuwa wanapata mil 15! Sijui na wasanii wengine mil 5 kwa mil 2 kulingana na ukubwa wao,sijui kwa sasa wanalipwaje.

* Nimeshuhudia msafara wa magari zaidi ya 60 katika msafara wa mgombea urais.

* Mengine unaweza ukaongeza wewe kama vifaa,chakula,posho za msululu wa watu nk.

Hivi kweli gharama za uchaguzi zinazingatiwa na kwa mujibu wa NEC. Gharama hizi zinapaswa zisizidi kiasi gani kwa mwaka huu wa uchaguzi?
Hizo gharama zote hakuna pesa taslim.hao watu wametoa magari uao bure na hao wa sheli wametoa mafuta bure.ukijaribu kupinga hiyo order .uhujumu uchumi inakuhusu katika biashara yako.unakubali uingie gharama ili biashara zako ziwe salama .Ova!
 
Kuna wengine 2015 mitaji yao ilikufa kwa kukoa walikopesha tisheti na mabango ccm.baada ya uchaguzi kukawa hakuna wa kumdai

Mkamuulize shigongo kilicho mpata 2015. nadhani ndiyo maana safari hii ameamua mwenyewe kuingia huko
 
SASA kama ni billion 17, Magu ata 1b hajatumia na amezunguka almost 30% ya nchi..na meetings zake zote zinaandaliwa na local Branches, yeye ni kuweka mafuta,Kula,kulala, wafanyakazi wengine wote kama kina pole pole na Bashiru wanalipwa posho zao na chama kama kawaida, walinzi. Wasanii wanalipiwa logistics na department ya polepole. Yaani sidhani ata kama atatumia zaidi ya 5b katika mizunguko yake nchi nzima..pia kumbukeni ikishazidi saa 12 chochote anachofanya hafanyi kama mgombea au mpiga kampeini hivyo akienda kulala Ikulu ndogo ana save pesa nyingi. Kwakwel ukiona incumbent president anashindwa uchaguzi jua huyo Kiongozi alikua amechokwa na kila mtu.
Wewe naye unaongea nini?Kwani tawi la CCM likiandaa mkutano,hizo gharama zinabebwa na nani?Si ni chama hicho hicho?Hapo sijui unalenga nini?Au unamaanisha pesa hazitakiwi kutoka mfuko mmoja ila zinapaswa zisambazwe kwenye matawi ili zisihesabike?Hii akili gani?
Hao wasanii peke yao mpaka sasa wanaikaribi hiyo bilion 1!
Vipi gharama za kukodisha magari kukusanya watu vijijini?
Vipi gharama ya tshirt zinazogawiwa bure kwa wanaosombwa?
Vipi vipeperushi na mabango?Vipi gharama ya mafuta kwa magari zaidi ya 60?Vipi kwa wapambe wa msafara kwa gharama za chakula na kulala?Vp matangazo kwenye television na redio?
 
Swali lako ni zuri sana ila Chadema watakuwa na room nzuri ya kulijibu maana waliwachangisha Wabunge wao pesa kila mwezi kwa kipindi cha miaka mitano kwa ajili ya kuendeshea kampeni. Waulize walikusanya shilingi ngapi na kama zinatumika kwa kampeni, hapo tunaweza tukapata mwanzo wa gharama za uchaguzi.
swali sio CHADEMA wanao fanya hayo mambo, swali ni CCM wametoa wapi hayo ma hela ya kumwaga tuanzie hapo.
 
Sidhani kama kuna idadi ya watu wanaotakiwa kuhudhuria mikutano ya kampeini..wanafikaje,kutokea wapi sio Kaz ya NEC.. pia hii mada haina mashiko kwani ata pasingekuwepo na limit still kuna vyama ata hiyo kidogo ya ruzuku hawatumii..na Kwa style inayoenda nayo CCM, kila Mwenyekiti wa Mkoa ndio anaandaa mkutano katika eneo husika, kwingine kote mgombea anasimama kituoni ndani ya gari na kuhutubia, kuhusu msululu wa magari hiyo ni Ngumu kwani hakuna Sheria inayosema magari ya watu wengine hayaruhusiwi kuwa barabarani au kuongozana na Mgombea wa chama Fulani Kwa mfano huwezi kumwadhibu Lissu Kwa kusindikizwa na msululu wa Pikipiki mpaka hotelini kwake.

Hapo unaona ndio umefanya utetezi kumbe upuuzi mtupu. Ni hivi, hizo sheria zimetungwa na ccm kisha kuipa tume isiyo huru ya uchaguzi, lengo ni kuhakikisha ccm haizidiwi, lakini sheria hizo haziihusu ccm.
 
ndiyo maana....

Chadema wanasema #sasabasi
ACT wanasema #imetosha
Hahaha mbona hao uliowataja wnatembeza bakuri kuomba michango ya kampeni sijuhi ruzuku wanazitumia kufanya nini?
 
Wenzio wanazo zaidi ya Trillion 1.5+Ruzuku ya Bilioni+ na zingine ni zile za vitambulisho vya Wamachinga+Fedha za mafisadi waliosamehewa+10% za ndege,sgr,Stieglitz Gorge nk.Tume inatakiwa itoe makisio yanayokaribiana na Total ya niliyoainisha hapo huu ili kusiwe na ukiukwaji kwa CCM.

Haya yangefanywa na wapinzani Nina uhakika wangeshafutwa kugombea.Fikiria walioenguliwa kwa makosa ya kubumba vs ukiukwaji huu wa maadili ya uchaguzi na kujiuliza Haki inatendeka?

Watanzania kama hatufahamu kusoma hata picha hatuoni au masikio yetu hayasikii vilio hivi?Tunatakiwa kupaaza sauti zetu tuchague viongozi waadilifu,ambao huko CCM Mpya ni wachache au hawapo kabisa.Jukumu letu ni kupiga kura na kuzilinda dhidi ya uchakachuaji ili Haki za mpiga kura ziheshimiwe na kutangaziwa washindi halali wa Udiwani,Ubunge na Rais.Isiwe kinyume chake na hatuzuuliwi kulinda kura maana si makosa.
Hawa WAHALIFU wasipatiwe tena nafasi ya kurejea madarakani, Sasa basi.
 
Hili swali halikuwahi kunifika mpaka mgombea urais wa CCM kufika Kigoma. Mambo yalikuwa hivi:

*Magari kama Coaster na mabasi yalikodiwa kuchukua wananchi kutoka vijiji mbalimbali. Nina rafiki yangu ambaye gari zake zote zilikodiwa kwa kazi hiyo!

* Wananchi wote waliopakiwa kwenye magari hayo kwenda kwenye uwanja wa kampeni waligawiwa tshirt na vipepereshu vya CCM bure!

* Boda boda walipewa T-shirt na namba ambayo waliitumia kujazia mafuta kwenye sheli!

* Wasanii hulipwa kiasi gani kwa mkutano mmoja? Kama kumbukumbu zangu ziko sawa, 2015 diamonda na alikiba walikuwa wanapata mil 15! Sijui na wasanii wengine mil 5 kwa mil 2 kulingana na ukubwa wao,sijui kwa sasa wanalipwaje.

* Nimeshuhudia msafara wa magari zaidi ya 60 katika msafara wa mgombea urais.

* Mengine unaweza ukaongeza wewe kama vifaa,chakula,posho za msululu wa watu nk.

Hivi kweli gharama za uchaguzi zinazingatiwa na kwa mujibu wa NEC. Gharama hizi zinapaswa zisizidi kiasi gani kwa mwaka huu wa uchaguzi?
Hizo zote ni pesa za walipa kodi wa Tanzania zinazotapanywa ovyo na magufuli kisa uroho wa madaraka
 
Unauliza NEC ya Nchi au NEC ya CCM, kama ya ni NEC ya CCM basi wanatumia ruzuku na pesa za uanachama. Kama NEC ya Nchi basi rejea majukumu yao ikiwemo kusimamia maadili, vigezo na sifa za wagombeaji, uchaguzi huru na haki.

Hayo matumizi ya pesa ni kutokana na vyanzo binafsi vya vyama vya siasa so sio level ya NEC ya Nchi.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Hizo ni pesa ya serikali,magu anachota tu pesa yetu
 
Back
Top Bottom