Uchaguzi 2020 Sheria ya Gharama za Uchaguzi inasemaje? Nimepata mashaka baada ya CCM kufika Kigoma

Gharama za uchaguzi haziihusu CCM, vyama vya upinzani vinatakiwa kuzingatia kikomo kilichowekwa na NEC vinginevyo vitachukuliwa hatua kali ikiwa ni pamoja na kupoteza sifa za kugombea.
Siku CCM wakitoka madarakani ndiyo tutaanza kujua ni vipi CCM wametuonea na kutunyanyasa kwa muda wa miaka 60. Kwa Sasa ni vigumu mno watu kuona au kuelewa hilo ingawa Lissu na CDM wanajitahidi kuwasomesha wananchi.
 
Gharama za uchaguzi ni kwa vywama vywa upinzani tu brother wala usiumize kichwa ccm haiwahusu ndiyo nchi hii tena awamu hii ilipo tufikisha
 
Gharama za uchaguzi ni kwa vywama vywa upinzani tu brother wala usiumize kichwa ccm haiwahusu ndiyo nchi hii tena awamu hii ilipo tufikisha
Huo ni ukweli ulio wazi,tunatakiwa kuukomesha kwa kuchagua viongozi mbadala wa CCM.Walishajimilikisha mali za umma na Watanzania(wenye nchini yao).
 
Hizo gharama zinawahusu wapinzani.

Unadhani pale NEC nani mwenye msuli wa kumkosoa Meko anapofanya makosa, ndio maana uwepo wa Lissu una umuhimu sana ili kwenda nao sawa hawa mabeberu.
 
Sasa katika maadili ya uchaguzi kwanini kuna kifungu cha gharama za uchaguzi?Kipo kama pambo tu?
Imagine wewe unammiliki hotel kama Malaika pale Mwanza, au Una mabasi ya abiria kama Yule mbunge msukuma wa Geita, au wewe ni Babu Tale(manager wa wasanii wanaotoa burudani kwenye kampeini) au ni Tabasamu(supplier Mkubwa wa Mafuta)ni kiasi gani utawacharge CCM Kwa services utakazowapatia?!
 
Hizo gharama zinawahusu wapinzani.

Unadhani pale NEC nani mwenye msuli wa kumkosoa Meko anapofanya makosa, ndio maana uwepo wa Lissu una umuhimu sana ili kwenda nao sawa hawa mabeberu.
Wewe jamaa uko deep Sana, kuna watu ukiwaeleza ukweli wanaporomosha matusi.
 
Diamond na Alikiba walikuwa wanapewa mil 15 kwa mkutano mmoja mwaka 2015!Kwa sasa sijui wanalipwa ngapi!
Huku kigoma nimesema nina mtu ninayefahamiana naye ambaye magari yake yalikodiwa!
 
Diamond na Alikiba walikuwa wanapewa mil 15 kwa mkutano mmoja mwaka 2015!Kwa sasa sijui wanalipwa ngapi!
Huku kigoma nimesema nina mtu ninayefahamiana naye ambaye magari yake yalikodiwa!
Million 15 Kwa show Ile?.. basi CCM wanapesa ya kuchezea..
 
Million 15 Kwa show Ile?.. basi CCM wanapesa ya kuchezea..
That means Kwa kampeini ya wiki 3 tuu wanalipwa pesa nyingi kuliko kiinua mgongo cha Mbunge wa Jamuhuri anayefanya KAZI miaka 5...kuwa msanii ni Bora zaidi kuliko KAZI za kuomba miongozo.
 
Gharama haipo fixed, kinachoangaliwa zisitumike gharama tofauti na muda wa campaign (any amount of money is applied during campaign period) ndio maana vyama vinaruhusiwa kuchangisha wananchi (harambee)
 
Hivi Singeli ya Ziara ya Rais wa Burundi imekwendaje huko au Zuchu kazingua?
 
Mbona NEC ilishasema gharama isizidi 16 Trillion mkuu!
 
Gharama haipo fixed, kinachoangaliwa zisitumike gharama tofauti na muda wa campaign (any amount of money is applied during campaign period) ndio maana vyama vinaruhusiwa kuchangisha wananchi (harambee)
Aisee sijui na wewe umeandika nini!Hebu jisome halafu ujiicheke mwenyewe!
 
Million 15 Kwa show Ile?.. basi CCM wanapesa ya kuchezea..
Wewe unadhani kwanini Bashiru alisema safari hii hawatatumia wasanii kufanya kampeni?Pesa ni nyingi inakwenda!
Wewe unadhani kumchukua Diamond umtoe Dar umpeleke Mikoani,utamlipa kiasi gani?
CCM ndio inapesa,pesa kutoka maeneo mbalimbali serikalini kama vitambulisho vya machinga na mafungu yasiyokaguliwa!
 
Mbona NEC ilishasema gharama isizidi 16 Trillion mkuu!
Hicho kiasi kisizidi Trilioni 16 kwa vyama vyote au CCM pekee?Hivi hicho kiasi cha fedha si zaidi ya gharama za kujenga SGR?
 
Hicho kiasi kisizidi Trilioni 16 kwa vyama vyote au CCM pekee?Hivi hicho kiasi cha fedha si zaidi ya gharama za kujenga SGR?
Sorry nafikiri ni Billion siyo Trillion. Kwa kila chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…