Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Atakuwa jela (miaka 30)je, huyo aliyetungisha, mimba atakuwa wapi?
Sasa hapa kuna haki gani inatendeka wakati watu walikubaliana. Mbona kama sheria inaegemea upande mmoja.Atakuwa jela (miaka 30)
Uwe unajenga hoja mkuu usiwe bendera fuata upepo tu. Umepewa akili zako zitumie vizuri. Kumpeleka jela aliyetungusha mimba kama ni mwanifunzi unahisi sio ukandamizaji??Ningeshangaa sana Rais mwanamke kuendelea kugandamiza watoto wa kike.
Wapi nimesema kuwa kuwapeleka jela wajaza mimba siyo ukandamizaji?Kuna sehemu yoyote nimezungumza juu ya wajaza mimba?Uwe unajenga hoja mkuu usiwe bendera fuata upepo tu. Umepewa akili zako zitumie vizuri. Kumpeleka jela aliyetungusha mimba kama ni mwanifunzi unahisi sio ukandamizaji??
Unamaliza Nani mbona hujaquote uzimkuu koo unapinga sheria au
Mwanafunzi wa kiume haendi jela kwa kumpa mimba mwanafunzi mwenzie, hii ni tangu zamaniUwe unajenga hoja mkuu usiwe bendera fuata upepo tu. Umepewa akili zako zitumie vizuri. Kumpeleka jela aliyetungusha mimba kama ni mwanifunzi unahisi sio ukandamizaji??
Mtoto hana uwezo wa kufanya maamuzi kutokana na umri wake (below 18). Hata kama kakukibalia ni kosa kisheria. Maamuzi halali huwa yanafanywa na mtu mzima (abve 18)Sasa hapa kuna haki gani inatendeka wakati watu walikubaliana
Kwa sheria ipi mkuu?Mwanafunzi wa kiume haendi jela kwa kumpa mimba mwanafunzi mwenzie, hii ni tangu zamani
sasa hapo kiongozi alietembea na mwenzake ni nan au kubakwa kupo upande mmoja?Kutembea na mtu chini ya 18 years ni ubakaji, labda na wewe uwe under 18. So hupelekwi jela miaka thelathini sababu ya kubebesha mimba, bali sababu ya kubaka.