Sheria ya kutokula wakati wa mfungo wa ramadhani

madolaa

Member
Joined
Jun 5, 2024
Posts
15
Reaction score
6
Tanzania ni muungano wa nchi mbili Tanganyika na Zanz. Bara mtu ana huru wa kula wakati wowote kipindi cha ramadhani lakini Zanzibar hairuhusiwi na mtu akifanya hivyo kuna sheria ya kubana. Je? Kwann iwe hivi na ni nchi mbili zenye katiba moja? Naomba kueleweshwa
 
Itaje hiyo sheria
 
Hakuna sheria, huko Zanzibar ni utemi tu unafanyika. Mtu akikuzuia kula chakula yako nenda mahakamani. Ila huko utakutana na mahakimu wana hasira ya kufunga!
 
Tanzania ni muungano wa nchi mbili Tanganyika na Zanz. Bara mtu ana huru wa kula wakati wowote kipindi cha ramadhani lakini Zanzibar hairuhusiwi na mtu akifanya hivyo kuna sheria ya kubana. Je? Kwann iwe hivi na ni nchi mbili zenye katiba moja? Naomba kueleweshwa
Achana na vichaa hao..
 
Hakuna sheria hiyo , we mwoga unajishtukia ...Pambana kama huelewi taratibu zao rudi kwenu .
 
Ikifika kwaresma ukikutana na ustadhi kutoka Zanzibar anakula na wewe mchape makofi mwambie ni mwezi mtukufu anakuharibia swaumu.
 
Tanzania ni muungano wa nchi mbili Tanganyika na Zanz. Bara mtu ana huru wa kula wakati wowote kipindi cha ramadhani lakini Zanzibar hairuhusiwi na mtu akifanya hivyo kuna sheria ya kubana. Je? Kwann iwe hivi na ni nchi mbili zenye katiba moja? Naomba kueleweshwa
Zanzibar ile si sheria ni ugaidi kama Boko Haram tu.
 
Tanzania ni muungano wa nchi mbili Tanganyika na Zanz. Bara mtu ana huru wa kula wakati wowote kipindi cha ramadhani lakini Zanzibar hairuhusiwi na mtu akifanya hivyo kuna sheria ya kubana. Je? Kwann iwe hivi na ni nchi mbili zenye katiba moja? Naomba kueleweshwa
Kwanza elewa Zanzibar ina katiba yake, mambo mengine usipende kulazimisha, Nigeria ni nchi moja tena siyo muungano ila majimbo ya kaskazini ni marufuku kula hadharani kipindi hiki. Hujaona watu wanashughulikiwa kwa viboko hadharani. Tuheshimu tamaduni za watu ilimradi haikudhuru siyo kila kitu kulalamika, tusilazimishe kufanana.
 
Uhuru ukizidi ni utumwa. Haijakatazwa kula mwezi wa Ramadhani kama unavyotaka watu wa amini hapa. Hata huko Zanzibar unakosema. Kinachosisitizwa ni staha kwakuwa wengi wapo kwenye mungo. Chukua chakula kaa sehemu paipo na kificho kula tuone nani akupige.
Shida yetu sie wa bara tunataka tukiwa Zanzibar tuwe kama kariakoo hiyo ni ngumu kwa sababu kule wengi wamefunga.
Tuwe cultural sensitive itasaidia sana
 
Kwanza elewa Zanzibar ina katiba yake, mambo mengine usipende kulazimisha, Nigeria ni nchi moja tena siyo muungano ila majimbo ya kaskazini ni marufuku kula hadharani kipindi hiki. Hujaona watu wanashughulikiwa kwa viboko hadharani. Tuheshimu tamaduni za watu ilimradi haikudhuru siyo kila kitu kulalamika, tusilazimishe kufanana.
Sijalazimisha ndo maana nkaomba kueleweshwa
 
Tanzania ni muungano wa nchi mbili Tanganyika na Zanz. Bara mtu ana huru wa kula wakati wowote kipindi cha ramadhani lakini Zanzibar hairuhusiwi na mtu akifanya hivyo kuna sheria ya kubana. Je? Kwann iwe hivi na ni nchi mbili zenye katiba moja? Naomba kueleweshwa
Na ikitokea umekula HATA siku Moja kitabu linasema ufunge siku sitini ama ukasaidie watu sitini wenye shida wewe patamu
 
Znz wamekataza kula hadharani mkuu
Lakini KUNA SEHEMU zinauzwa Msosi kama kawaida na unaruhusiwa KWENDA kule
We sema ukweli shida iliopo masikini weng wenye hotel za kawaida i wamefunga na vijihotel vyao

So hotel kubwa KUBWA ndio zinauzwa Msosi m niliiwahi kukuta yalinikuta nkanunua boskuit 20 na juice 10 za kuanzia wewe una helà ya kawaida lakn unashindwa kula kwenye mahotel yao
 
Back
Top Bottom