Sheria ya Mafao ya wenza wa viongozi wakuu: Usultani unapiga hodi!?

Aisee Bwa Ole Mushi Nchi inadidimia
 
Tuongee ukweli ..kati yetu hapa ukitokea umepata bahati ya kupiga kama wanavyowafanya wanasiasa..Kuna mtu anaweza kukataa au kusema hataki ..haswa akiangalia shida alizopitia kimaisha yeye na jamii yake!?
Tatizo basi ni Shida? Kama Waziei Mkuu au Spika wa Bunge ana shida gani?
Au Jaji Mkuu?
 
Salma kweli huwa ni kilazaa simlaumu, na bunge letu jee....kama linalala sheria ya hovyo hivi inapita, kuna umuhimu gani wa kuwepo kwa bunge sasa??
Vijiwe vya kahawa hawawezi pitisha sheria za kipuuzi hivi!.
Kuna wabunge wana PhD
Wanajiita dokita my foot
Poor reason
Poor thinking
Ovyo kabsaaa
Nitawanyoosha 2025
 
Walioleta mswaada ni serikali, vilaza waliounga mkono ni wabunge wote.
Wafanyakazi na wanasiasa wanaiibia nchi kulia na kushoto.
Nchi inaingia laana ya Usultani.
Kila MTU anaiba kulingana na level yake
Tatizo ni uongozi
Acha tulambe asali sisi
 
Ukweli mchungu tawala za waislamu huwa na ufisaidi wa kilafi. Watawala wa kiislamu ni walafi. Familia ya kikwete ndio waasisi wa kumea ufisadi nchini. Ilaaniwe ile familia wakifa wafe vishuzi juu.
Acha upuuz wewe kama hutaki kulamba asali tulia
Huu ndiyo muda wetu
 
JK hana kosa,wakulaumiwa ni wabunge,yaani kilaza darasa la saba Salima kawaingiza mkenge na wamejaa tele,pumbavu kabisa
PhD holder
Dokita wa mchongo
Thesis ya mchongo
Chuo cha mchongo
Cabinet ya chuo ya mchongo

Ovyo ovyo tuu tutafika tuu
Ngoja tulambe asali sisi
Hii michongo ni mitamu japo sio mizuri lkn
 
Africa itawaliwe moja kwa moja tena ieleweke.
 
Wanasiasa wanafanya hivyo wanajua hii ni ya majuha, kesho utasikia wabunge wanataka posho ziongezwe nani wakizuia haya yasifanyike!? Hakuna na ndiyo maana kila siku hua nasema hakuna viumbe wabaya hapa duniani kama wanasiasa na ndiyo chanzo cha shida zote hizi. Huduma ya afya kwa wazee wajawazito watoto haipo, imebakia siasa tuna uzuri watumishi wa afya hua wanawapa makavu wagonjwa wao kubwa hakuna cha bure ukitaka kutibiwa control number ile pale nenda kalipie ukweli mchungu. wasiotaka kusikia wagonjwa. Harafu kuna wake wa wastaafu wenye kumiliki vitega uchumi na waume zao wanalipwa ambayo hayatamkiki. Na wabunge kwa vile ni watumishi wa shetani wanapitisha muswada huu, huku wakijua fika kama kuna kaya ambazo kesho yao Mungu tu ndiye anajua. Nini kitanishawishi kuto kukuona wewe mwanasiasa zaidi vampire. Dunia ilikuwa sehemu mzuri ya kuishi kusingekuwepo wanasiasa.
 
Nchi imekufa, alisema mbunge juzi , wengi wenda hawakumuelewa, ni mkono wa Bwana na wenye nguvu, wa kulitoa taifa lilipo, Nafikili nyakati zimefika za ccm kuondoka kwa masononeko makubwa na majuto ,Mungu aendelee kuwatia nguvu watz, mda ni mwalim utaongea
 
Unaongea usichojua , iyosheria umeiona? Je mafao anayo takiwa kulipwa mfano Mama Janeth ambaye alikua mwalim ndo stahiki sahii angelipwa kama angestahafu kama mwalim? Au kisa tu alikua mke wa Rais ,
Hoja inabaki pale mke wa rais alipigiwa kura, mpaka awe na stahiki za kufuru za namna iyo?

Kama sio ulafi kwamba bado malupulupu ya mmewe kama rais hayatoshi mpaka mwongezea malupulupu ya namna iyo uku watumishi wengine wanateswa na vikokotoo,

Hii ni kufuru, na malipo yake yatakua mabaya sana
 
Ila Kwa Hili Serikali Imetukosea Sana Sana Yaani Family Zao Zina Neema Bado Zinaongezewa Mali Tele Tele
 
Mnisanehe, nimetoka kuiona hiyo kitu ni tofauti kabisa walivyoongea bungeni, AMA KWELI USISIKILIZE WANACHOSEMA.

Yani mwenza anapata 25% ya kiinua mgongo cha Raisi, gari moja imeongezwa kutoka awali ambazo zilikuwa ni mbili, kwenye nyumba.... Niishie hapa tu nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…