Sheria ya Makosa ya Mtandao 2015: Kwa mkakati huu wa Serikali, Watumiaji wa Mitandao tutapona?

Sheria ya Makosa ya Mtandao 2015: Kwa mkakati huu wa Serikali, Watumiaji wa Mitandao tutapona?

waongeze ukubwa wa magereza, na pia wafute matumizi ya mtandao na simu. sheria inapovunja haki za kikatiba nakuwa siwaelewi hawa watunga sheria wetu. hivi tunapelekwa wapi?
 
yanayotokesa Nchini kwa sasa , watu wana dukuduku , wana jazba . wana hasira lkn hiii sheria imewanyamzisha watu, wooote kimyaaaaaaaaaa
 
Sio kweli amour,,nilishaona kipindi kimoja kwenye tv yao watoto wakiwa darasani wamekaa kwenye matofali...
 
Hii sheria ni nzuri, lakini itaweza kusimamiwa ipasavyo?
Maana kuna vitengo vingi sana katiks nchi yetu vinavyohitaji usimamizi mzuri.
Ikiwa watafanikiwa katika hili basi nitawatilia shaka, kwanini hili kwanini liwezekane na mengine yenye umuhimu mkubwa yashindikane?
 
Kinachoshangaza tanzania ni woga wa kufungua kesi za kikatiba kupinga sheria za kidhalimu. Wenzetu kenya tayari wamezipinga sheria za aina hii mahakamani mara tatu na kuifanya serikali ya kenya kukaa kimya.
 
Wangeongeza sheria iwe kali zaidi, kwani watz wanavichwa vigumu sana, na ukizingatia kwamba watz ni washamba wa hii mitandao, kwa hali hiyo wanaingia kwa nguvu kubwa sana hadi wanataka wao wawe juu ya wale ambao wana miaka zaidi ya 50, na wakati huo ni mbumbumbu hata hawajui sheria zinasemaje.
 
Sheria yenyewee wnaitumia kama fimbo. Yani ukiongeaa jambo la kweli kuusu serikali. Unalooo
 
Sheria kandamizi ni maalum kwa kuwabeba wakoloni weusi na si kwa kupunguza matumiI mabaya ya mtandao.
 
Sheri zipo ila hazifuatwi na viongozi wetu hawana ujasiri wa kufuatilia hizi kwsi za madawa ya kulevya maana nakumbuk a baba Rizz aliwahi kusema orodha UA wafanyabiasha wa madawa ya kulevya anayo lakini tunashangaa mpaka anaondoka hajawataja
 
Sheria hii imeundwa ili kudidimiza upinzani watu wasiwe na Uhuru wa maoni wa kuikosoa saeikali pale inapofanya maovu
 
Usimamizi wa serikali yetu ni mbovu ata tukiongea mambo mengi utekelezajiii mbovu lakini cha msingii tufikishe ujumbe ukweli ni kwamba mitandao iko mingi alafu inasumbua network system zao ovyo asubuhii njema wanajamii wenzangu
 
Back
Top Bottom