Sheria ya makosa ya shule inasemaje mwanafunzi anapokamatwa na simu?

Sheria ya makosa ya shule inasemaje mwanafunzi anapokamatwa na simu?

Je, simu hiyo anapaswa kurudishiwa, au kuitaifisha au kufanya nini? Tafadhali nijibu kulingana na sheria inavyosema na sio kwa kuzingatia maadili.
Waziri mmoja alishawahi kusema mwanafunzi akikutwa na simu shuleni afukuzwe mara moja
 
Mwacheni dogo atumie simu, huo ni ujinga wa kiwango cha barabara ya vumbi kukataza wanafunzi wasitumie simu shuleni.

Anyway, sheria zinategemeana na Shule.
 
Back
Top Bottom