Mwanamke wa mithali 31 JF-Expert Member Joined Apr 10, 2024 Posts 1,159 Reaction score 2,577 May 11, 2024 #21 jangoma said: Duh pole sana ila ulifanya kosa baya dana.mwisho wa siku simu ulirudishiwa au ilitaifishwa?? Click to expand... Niliipasua assembly mbela ya walimu na wanafunz wote,nikapewa nyundo niibonde
jangoma said: Duh pole sana ila ulifanya kosa baya dana.mwisho wa siku simu ulirudishiwa au ilitaifishwa?? Click to expand... Niliipasua assembly mbela ya walimu na wanafunz wote,nikapewa nyundo niibonde
Dr hyperkid JF-Expert Member Joined Jun 7, 2019 Posts 12,679 Reaction score 25,646 May 11, 2024 #22 Evelyn Salt said: Viboko mujarabu hadi shati la teacher linaloa jasho maeneo ya kwapa na mgongoni...... Click to expand... hahahhah wanaita viboko vya kadiri yani hadi mwalimu itakapo mpendeza
Evelyn Salt said: Viboko mujarabu hadi shati la teacher linaloa jasho maeneo ya kwapa na mgongoni...... Click to expand... hahahhah wanaita viboko vya kadiri yani hadi mwalimu itakapo mpendeza
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 70,916 Reaction score 141,437 May 11, 2024 #23 Dr hyperkid said: hahahhah wanaita viboko vya kadiri yani hadi mwalimu itakapo mpendeza Click to expand... 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Dr hyperkid said: hahahhah wanaita viboko vya kadiri yani hadi mwalimu itakapo mpendeza Click to expand... 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
I inspectorbenja JF-Expert Member Joined Oct 14, 2012 Posts 597 Reaction score 651 May 11, 2024 #24 jangoma said: Je, simu hiyo anapaswa kurudishiwa, au kuitaifisha au kufanya nini? Tafadhali nijibu kulingana na sheria inavyosema na sio kwa kuzingatia maadili. Click to expand... Waziri mmoja alishawahi kusema mwanafunzi akikutwa na simu shuleni afukuzwe mara moja
jangoma said: Je, simu hiyo anapaswa kurudishiwa, au kuitaifisha au kufanya nini? Tafadhali nijibu kulingana na sheria inavyosema na sio kwa kuzingatia maadili. Click to expand... Waziri mmoja alishawahi kusema mwanafunzi akikutwa na simu shuleni afukuzwe mara moja
Namshakende JF-Expert Member Joined Sep 23, 2021 Posts 671 Reaction score 1,644 May 11, 2024 #25 Mwacheni dogo atumie simu, huo ni ujinga wa kiwango cha barabara ya vumbi kukataza wanafunzi wasitumie simu shuleni. Anyway, sheria zinategemeana na Shule.
Mwacheni dogo atumie simu, huo ni ujinga wa kiwango cha barabara ya vumbi kukataza wanafunzi wasitumie simu shuleni. Anyway, sheria zinategemeana na Shule.