President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Hii sheria ya TRA imeyagusa mashirika mengi ya kidini maana yalikuwa yanatumika kama uchochoro wa wafanyabiashara kuingiza bidhaa nchini bila kulipa kodi.
Shirika la kidini linapaswa kuwasilisha maombi kwa Commissioner General wa Tanzania Revenue Authority (TRA) kabla ya kuleta vifaa ili kupata barua ya msamaha (exemption) kabla ya ku-clear mizigo.
Upunguzaji wa VAT unaruhusiwa kwa “import of goods by the religious organisation for the provision of health, education, water, religious services” ila, chini ya masharti: au huduma zinazotolewa bila ada (“without fee, charge, or any other consideration”) au ikiwa ada zinatozwa, hazipaswi kuzidi 50% ya “fair market value.”
Kwa misamaha ya kodi ambayo inatolewa, mfumo wa malipo ni kupitia “Treasury Voucher and Cheque System” (TVC). Hii ina maana kwamba serikali inalipia kodi hiyo kwa niaba ya shirika la kidini, badala ya shirika kulipa kodi hiyo moja kwa moja kwa TRA.
-> Serikali inaweza kuangalia kama vifaa vilitumiwa kwa madhumuni ya msamaha. Ikiwa shirika linauza vifaa badala ya kutumia kwa ibada au huduma za jamii, msamaha unaweza kukataliwa au kuondolewa.
Mambo haya yanawafanya TEC wapitie mlango wa nyuma kuja na waraka wa vitisho, kutengeneza vijana wa TYC kwenye social media kuitukana na kuleta uzushi dhidi ya serikali. Kuwatumia nchi jirani na vyombo vya habari kuwachafua viongozi na kutengeneza meme.
Je, hii vita TEC wataimaliza? Je, Wakatoliki wote wanakubaliana na mwenendo wa TEC?
Ukweli ni kwamba wapo mapadri wengi tu hawana imani na TEC, TEC imekuwa ni kikundi cha watu wachache na familia zao kufadiana.
Shirika la kidini linapaswa kuwasilisha maombi kwa Commissioner General wa Tanzania Revenue Authority (TRA) kabla ya kuleta vifaa ili kupata barua ya msamaha (exemption) kabla ya ku-clear mizigo.
Upunguzaji wa VAT unaruhusiwa kwa “import of goods by the religious organisation for the provision of health, education, water, religious services” ila, chini ya masharti: au huduma zinazotolewa bila ada (“without fee, charge, or any other consideration”) au ikiwa ada zinatozwa, hazipaswi kuzidi 50% ya “fair market value.”
Kwa misamaha ya kodi ambayo inatolewa, mfumo wa malipo ni kupitia “Treasury Voucher and Cheque System” (TVC). Hii ina maana kwamba serikali inalipia kodi hiyo kwa niaba ya shirika la kidini, badala ya shirika kulipa kodi hiyo moja kwa moja kwa TRA.
Changamoto inayowaumiza TEC mpaka wanaleta mbwai
-> Inahitaji nyaraka nyingi (barua DC, mpango wa ununuzi, ripoti ya matumizi, maombi rasmi)-> Serikali inaweza kuangalia kama vifaa vilitumiwa kwa madhumuni ya msamaha. Ikiwa shirika linauza vifaa badala ya kutumia kwa ibada au huduma za jamii, msamaha unaweza kukataliwa au kuondolewa.