bob_fundi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2025
- 457
- 705
😂😂😂😂 jimbo gan? Na kazi za tec ndio hizo hapBandiko hilo ni la Padri Kitima siyo uamuzia wa Maaskofu. Nimeongea na Askofu wangu sasa hivi kanihakikishia hili.

Wewe research umeifanya wapi ?!Ukitaka kujua udikteta wa TEC fanya reseach. Mapadri 80% hawakubaliani na maamuzi yao.
Hii sheria ya TRA imeyagusa mashirika mengi ya kidini maana yalikuwa yanatumika kama uchochoro wa wafanyabiashara kuingiza bidhaa nchini bila kulipa kodi.
Shirika la kidini linapaswa kuwasilisha maombi kwa Commissioner General wa Tanzania Revenue Authority (TRA) kabla ya kuleta vifaa ili kupata barua ya msamaha (exemption) kabla ya ku-clear mizigo.
Upunguzaji wa VAT unaruhusiwa kwa “import of goods by the religious organisation for the provision of health, education, water, religious services” ila, chini ya masharti: au huduma zinazotolewa bila ada (“without fee, charge, or any other consideration”) au ikiwa ada zinatozwa, hazipaswi kuzidi 50% ya “fair market value.”
Kwa misamaha ya kodi ambayo inatolewa, mfumo wa malipo ni kupitia “Treasury Voucher and Cheque System” (TVC). Hii ina maana kwamba serikali inalipia kodi hiyo kwa niaba ya shirika la kidini, badala ya shirika kulipa kodi hiyo moja kwa moja kwa TRA.
Changamoto inayowaumiza TEC mpaka wanaleta mbwai
-> Inahitaji nyaraka nyingi (barua DC, mpango wa ununuzi, ripoti ya matumizi, maombi rasmi)
-> Serikali inaweza kuangalia kama vifaa vilitumiwa kwa madhumuni ya msamaha. Ikiwa shirika linauza vifaa badala ya kutumia kwa ibada au huduma za jamii, msamaha unaweza kukataliwa au kuondolewa.
Mambo haya yanawafanya TEC wapitie mlango wa nyuma kuja na waraka wa vitisho, kutengeneza vijana wa TYC kwenye social media kuitukana na kuleta uzushi dhidi ya serikali. Kuwatumia nchi jirani na vyombo vya habari kuwachafua viongozi na kutengeneza meme.
Je, hii vita TEC wataimaliza? Je, Wakatoliki wote wanakubaliana na mwenendo wa TEC?
Ukweli ni kwamba wapo mapadri wengi tu hawana imani na TEC, TEC imekuwa ni kikundi cha watu wachache na familia zao kufadiana.
Mbona miaka yote exemption huwa inaombwa haijawahi kuwa automatic!! Na sio kwa taasisi za dini ila non profit zote kama NGOs za afya, hizo UN, charity schools, hospitals n.kHii sheria ya TRA imeyagusa mashirika mengi ya kidini maana yalikuwa yanatumika kama uchochoro wa wafanyabiashara kuingiza bidhaa nchini bila kulipa kodi.
Shirika la kidini linapaswa kuwasilisha maombi kwa Commissioner General wa Tanzania Revenue Authority (TRA) kabla ya kuleta vifaa ili kupata barua ya msamaha (exemption) kabla ya ku-clear mizigo.
Upunguzaji wa VAT unaruhusiwa kwa “import of goods by the religious organisation for the provision of health, education, water, religious services” ila, chini ya masharti: au huduma zinazotolewa bila ada (“without fee, charge, or any other consideration”) au ikiwa ada zinatozwa, hazipaswi kuzidi 50% ya “fair market value.”
Kwa misamaha ya kodi ambayo inatolewa, mfumo wa malipo ni kupitia “Treasury Voucher and Cheque System” (TVC). Hii ina maana kwamba serikali inalipia kodi hiyo kwa niaba ya shirika la kidini, badala ya shirika kulipa kodi hiyo moja kwa moja kwa TRA.
Changamoto inayowaumiza TEC mpaka wanaleta mbwai
-> Inahitaji nyaraka nyingi (barua DC, mpango wa ununuzi, ripoti ya matumizi, maombi rasmi)
-> Serikali inaweza kuangalia kama vifaa vilitumiwa kwa madhumuni ya msamaha. Ikiwa shirika linauza vifaa badala ya kutumia kwa ibada au huduma za jamii, msamaha unaweza kukataliwa au kuondolewa.
Mambo haya yanawafanya TEC wapitie mlango wa nyuma kuja na waraka wa vitisho, kutengeneza vijana wa TYC kwenye social media kuitukana na kuleta uzushi dhidi ya serikali. Kuwatumia nchi jirani na vyombo vya habari kuwachafua viongozi na kutengeneza meme.
Je, hii vita TEC wataimaliza? Je, Wakatoliki wote wanakubaliana na mwenendo wa TEC?
Ukweli ni kwamba wapo mapadri wengi tu hawana imani na TEC, TEC imekuwa ni kikundi cha watu wachache na familia zao kufadiana.
Vipi BAKWATA??hawana mpango wa kuagiza hata vitabu?Hii sheria ya TRA imeyagusa mashirika mengi ya kidini maana yalikuwa yanatumika kama uchochoro wa wafanyabiashara kuingiza bidhaa nchini bila kulipa kodi.
Shirika la kidini linapaswa kuwasilisha maombi kwa Commissioner General wa Tanzania Revenue Authority (TRA) kabla ya kuleta vifaa ili kupata barua ya msamaha (exemption) kabla ya ku-clear mizigo.
Upunguzaji wa VAT unaruhusiwa kwa “import of goods by the religious organisation for the provision of health, education, water, religious services” ila, chini ya masharti: au huduma zinazotolewa bila ada (“without fee, charge, or any other consideration”) au ikiwa ada zinatozwa, hazipaswi kuzidi 50% ya “fair market value.”
Kwa misamaha ya kodi ambayo inatolewa, mfumo wa malipo ni kupitia “Treasury Voucher and Cheque System” (TVC). Hii ina maana kwamba serikali inalipia kodi hiyo kwa niaba ya shirika la kidini, badala ya shirika kulipa kodi hiyo moja kwa moja kwa TRA.
Changamoto inayowaumiza TEC mpaka wanaleta mbwai
-> Inahitaji nyaraka nyingi (barua DC, mpango wa ununuzi, ripoti ya matumizi, maombi rasmi)
-> Serikali inaweza kuangalia kama vifaa vilitumiwa kwa madhumuni ya msamaha. Ikiwa shirika linauza vifaa badala ya kutumia kwa ibada au huduma za jamii, msamaha unaweza kukataliwa au kuondolewa.
Mambo haya yanawafanya TEC wapitie mlango wa nyuma kuja na waraka wa vitisho, kutengeneza vijana wa TYC kwenye social media kuitukana na kuleta uzushi dhidi ya serikali. Kuwatumia nchi jirani na vyombo vya habari kuwachafua viongozi na kutengeneza meme.
Je, hii vita TEC wataimaliza? Je, Wakatoliki wote wanakubaliana na mwenendo wa TEC?
Ukweli ni kwamba wapo mapadri wengi tu hawana imani na TEC, TEC imekuwa ni kikundi cha watu wachache na familia zao kufadiana.
si nasikiaga ni military ranks?C
Cheo changu ni CEO mdogo wangu. Kozi yangu nilifanya Yugoslavia, than Israel. Upo na wasiwasi na mimi? Vatican nimekaa miaka 5.
Hilo swali nenda kamuulize mama yako.si nasikiaga ni military ranks?
Mwambie muislam mwenzenu aache kuua watanganyika fullstop ,hayo ya TEC sijui nini yataisha yote bila hivyo mtatunga sana habari nabhaita saidiaTEC ni opportunists wanao taka kutengeneza leadership vacuum ili waweze kuweka Mkatoliki katika kiti cha Uraisi ila sidhani kama watafanikisha hi GenZ ilisha choka udini katik siasa, mbona wa kuristo wengine kama wasabato johova pentecostal hawako power Hungry kama wakatoliki?
Hawa watoto wa juzi, wanachokiona hawakijuwi.Unataka kuaminisha kwamba lengo la TEC ni masirahi ya kiuchumi sio uzalendo?