Sheria ya Mashirika ya Dini kuomba msamaha wa kodi waagizapo vifaa ndio hasira ya TEC wanataka waingize vitu bure bila kodi

Hii sheria ya TRA imeyagusa mashirika mengi ya kidini maana yalikuwa yanatumika kama uchochoro wa wafanyabiashara kuingiza bidhaa nchini bila kulipa kodi.

Shirika la kidini linapaswa kuwasilisha maombi kwa Commissioner General wa Tanzania Revenue Authority (TRA) kabla ya kuleta vifaa ili kupata barua ya msamaha (exemption) kabla ya ku-clear mizigo.

Upunguzaji wa VAT unaruhusiwa kwa “import of goods by the religious organisation for the provision of health, education, water, religious services” ila, chini ya masharti: au huduma zinazotolewa bila ada (“without fee, charge, or any other consideration”) au ikiwa ada zinatozwa, hazipaswi kuzidi 50% ya “fair market value.”

Kwa misamaha ya kodi ambayo inatolewa, mfumo wa malipo ni kupitia “Treasury Voucher and Cheque System” (TVC). Hii ina maana kwamba serikali inalipia kodi hiyo kwa niaba ya shirika la kidini, badala ya shirika kulipa kodi hiyo moja kwa moja kwa TRA.

Changamoto inayowaumiza TEC mpaka wanaleta mbwai​

-> Inahitaji nyaraka nyingi (barua DC, mpango wa ununuzi, ripoti ya matumizi, maombi rasmi)

-> Serikali inaweza kuangalia kama vifaa vilitumiwa kwa madhumuni ya msamaha. Ikiwa shirika linauza vifaa badala ya kutumia kwa ibada au huduma za jamii, msamaha unaweza kukataliwa au kuondolewa.

Mambo haya yanawafanya TEC wapitie mlango wa nyuma kuja na waraka wa vitisho, kutengeneza vijana wa TYC kwenye social media kuitukana na kuleta uzushi dhidi ya serikali. Kuwatumia nchi jirani na vyombo vya habari kuwachafua viongozi na kutengeneza meme.

Je, hii vita TEC wataimaliza? Je, Wakatoliki wote wanakubaliana na mwenendo wa TEC?
Ukweli ni kwamba wapo mapadri wengi tu hawana imani na TEC, TEC imekuwa ni kikundi cha watu wachache na familia zao kufadiana.
Sasa watakuwaje na hasira na wanaingiza
 
Sawa ila hao TEC wanataka kujiweka kwenye mapinduzi ya wananchi revolution ili wajipachike wapewe kipao mbele katika Utawala ujao, kwasbabu walisha liona CCM haitomboi katika hili, na TEC na CCM tofauti ni ndogo ni wale wale wako kimasirahi sio wazalendo
Wanataka kushinikiza wawekwe viongozi wao kwenye serikali sehemu nyeti kama TISS nk.
Tayari Makamu wa Rais ni mkatoliki lakini makamu wa Rais hana nguvu ndani ya Serikali. Waziri mkuu ni KKKT waziri mkuu yupo na Nguvu kubwa ndani ya Serikali sio mtu wao.

Hapo kashehe inakuwa kubwa mno maan ndani ya miaka 10 watakuwa hawana nguvu. Na invyoelekea 2030 KKKT watachukua kitu cha Urais.

So 20 Years kutakuwa hakuna mkatoliki mwenye nguvu, maana hawajazoea hivyo.
 
Acheni upumbavu hamuiwezi Catholic,haga mabosi zako unaowalamba makalio wanalijua hilo
 
..wewe unaongelea kodi, vipi hospitali km Bugando unaweza pima thamani ya mchango wake toka imenzishwa na hiyo kodi unayosema vinalingana? msamaha wa kodi wanaoomba ni kwa ajili ya vitu gani..vya starehe au kusaidia wananchi?
... Bugando ni msaada au kaburi la mfuko wa bima ya afya?
 
C
Wewe ni cheo chako ni handler au operative tu wa kawaida? Nauliza tu.
Halafu niliwahi sikia huko kwenu vyeo mnatumia vyeo vya military

Ulipigia Kozi enzi ni USSR au Russia federation?
Cheo changu ni CEO mdogo wangu. Kozi yangu nilifanya Yugoslavia, than Israel. Upo na wasiwasi na mimi? Vatican nimekaa miaka 5.
 
Hii sheria ya TRA imeyagusa mashirika mengi ya kidini maana yalikuwa yanatumika kama uchochoro wa wafanyabiashara kuingiza bidhaa nchini bila kulipa kodi.

Shirika la kidini linapaswa kuwasilisha maombi kwa Commissioner General wa Tanzania Revenue Authority (TRA) kabla ya kuleta vifaa ili kupata barua ya msamaha (exemption) kabla ya ku-clear mizigo.

Upunguzaji wa VAT unaruhusiwa kwa “import of goods by the religious organisation for the provision of health, education, water, religious services” ila, chini ya masharti: au huduma zinazotolewa bila ada (“without fee, charge, or any other consideration”) au ikiwa ada zinatozwa, hazipaswi kuzidi 50% ya “fair market value.”

Kwa misamaha ya kodi ambayo inatolewa, mfumo wa malipo ni kupitia “Treasury Voucher and Cheque System” (TVC). Hii ina maana kwamba serikali inalipia kodi hiyo kwa niaba ya shirika la kidini, badala ya shirika kulipa kodi hiyo moja kwa moja kwa TRA.

Changamoto inayowaumiza TEC mpaka wanaleta mbwai​

-> Inahitaji nyaraka nyingi (barua DC, mpango wa ununuzi, ripoti ya matumizi, maombi rasmi)

-> Serikali inaweza kuangalia kama vifaa vilitumiwa kwa madhumuni ya msamaha. Ikiwa shirika linauza vifaa badala ya kutumia kwa ibada au huduma za jamii, msamaha unaweza kukataliwa au kuondolewa.

Mambo haya yanawafanya TEC wapitie mlango wa nyuma kuja na waraka wa vitisho, kutengeneza vijana wa TYC kwenye social media kuitukana na kuleta uzushi dhidi ya serikali. Kuwatumia nchi jirani na vyombo vya habari kuwachafua viongozi na kutengeneza meme.

Je, hii vita TEC wataimaliza? Je, Wakatoliki wote wanakubaliana na mwenendo wa TEC?
Ukweli ni kwamba wapo mapadri wengi tu hawana imani na TEC, TEC imekuwa ni kikundi cha watu wachache na familia zao kufadiana.
Punguani katika ubora wake
 
Kumbe ni huyu fala padri gan? Unezunguka wew jinga 🚮🚮
 
Kaka kuna msigano mkubwa sana ndani ya TEC. Wanajifanya kuficha kichwa kwenye mchanga. Watu tunajua Maaskofu wengi hawakubaliani na maamuzi yanayofanywa na Padri Kitima. Wengi wanataka ang'olewe pale.
usiongee mambo ya maaskofu km vile unaongelea wana ccm, hawana tabia za kinafiki km unavyodhani..uzushi dhidi ya watumishi wa Mungu unaweza kkuletea shida wewe au familia yako..usitamke tu maneno km juha!
 
Kumbe ni huyu fala padri gan? Unezunguka wew jinga 🚮🚮
Nimezunguka nchi nzima kaka. Kuna 3,201 mapadri wa Kanisa Katoliki. 3,000 hawakubaliani na TEC. Na isitoshe kila padri anajitegemea kwenye Parokia yake na anamsikiliza askofu wake tu na siyo TEC.
 
usiongee mambo ya maaskofu km vile unaongelea wana ccm, hawana tabia za kinafiki km unavyodhani..uzushi dhidi ya watumishi wa Mungu unaweza kkuletea shida wewe au familia yako..usitamke tu maneno km juha!
Wewe lijinga lijinga utajulia wapi? Unajua kwanini wanapiga kura kuchaguana?
 
Mtaongea kila propaganda safari hii ila hamtatupata Watanganyika.

Jueni tu, siku ya kufa nyani miti yote uteleza.

Nazidi kukusitizia. Waambie maboss zako mkimbie nchi na familia zenu.
 
Kuna KCMC, ya KKKT, Arusha Lutheran Medical Centre (ALMC), Haydom Lutheran Hospital, Chimala Mission Hospital, Berega Mission Hospital, Mchukwi Mission Hospital, Aga Khan na hospital nyingi tu hapa Tanzania.

Na kwa kukueleza zaidi CCT ndiyo yenye hospitals nyingi Tanzania kuliko hiyo Katoliki.
..nimeuliza thamani ya huduma ya Bugando toka ianzishwe unaijua? wewe unaorodhesha hospitali, hivyo vitu wanaombea msamaha ni vitu gani..?
 
Mpaka sasa dawa imekuingia kisawa sawa. Tunajua huko TEC kuna mgogoro mkubwa. Baadhi ya maaskofu hawakubaliani na Katibu, na nyuma ya maaskofu hao kuna mapadri chungu nzima wapo upande wa Serikali.

Hii vita mtabaki wachache mno. Na siyo msimamo wa kanisa katoliki.

Sawa tu si MNAWAHONGA. Lazima watakuwepo wa hiyo design unayoizungumzia. Hiyo haibadilishi ukweli.
 
..wewe unaongelea kodi, vipi hospitali km Bugando unaweza pima thamani ya mchango wake toka imenzishwa na hiyo kodi unayosema vinalingana? msamaha wa kodi wanaoomba ni kwa ajili ya vitu gani..vya starehe au kusaidia wananchi?
Kwani Bugando haina ruzuku za serikali, na pia watu wanalipia hiyo huduma.....nakatika memorandum walio saini wanakataza serikali isifungue hospitali kubwa kama hiyo hapo mwanz ila wafanya kua monopolist katika matibabu ya kibingwa huo ni uzalendo au ubepari.
 
Back
Top Bottom