Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 2,284
- 4,595
hizi takwimu wewe umezitoa wapi?Ndani ya Cahtolic mapadri 80% hawakubaliani na udikiteta wa TEC.
hizi takwimu wewe umezitoa wapi?Ndani ya Cahtolic mapadri 80% hawakubaliani na udikiteta wa TEC.
Mmefeli parefu sana, mtakuja na nyuzi za kila aina this time, watanganyika wa leo sio wa mwaka 80, D9 inakuja, tunajikomboa kutoka kwa mkoloni mweusi, mama mnywa damu za watu.Hiyo ni propaganda ya Katibu wa TEC wameikataa.
TYCS bhana KwikwikwikwikwiUmejitaid Kwa kias ,sio mbaya ni mwanzo mzur Kwa mtu anayeanza propaganda
Amani kama mliyowapatia Polepole, Kibao, Mdude, Chaula?Kipaumbele cha Tanzania ni Amani. Amani kwanza mengine yanazungumzika.
Kaka kila mtu mwenye akili ya utafiti anajua hili.hizi takwimu wewe umezitoa wapi?
Ulishawahi kwenda mahakani kufungua kesi? Au mnatekana nyie kwa nyie na kutupigia kelele?Amani kama mliyowapatia Polepole, Kibao, Mdude, Chaula?
Kwahiyo wako tayari kwa lolote ili wapenye kwenye uongozi wa juu wanchi, sio kwamba wanahurumia sana watanzania walio uawawa, wanasaka utawala kwa nguvu zote, ila nacho ona Raisi mkatoliki au Muislamu ulishapita nawakati tuangalie uandilifu na uwezo.Wanataka kushinikiza wawekwe viongozi wao kwenye serikali sehemu nyeti kama TISS nk.
Tayari Makamu wa Rais ni mkatoliki lakini makamu wa Rais hana nguvu ndani ya Serikali. Waziri mkuu ni KKKT waziri mkuu yupo na Nguvu kubwa ndani ya Serikali sio mtu wao.
Hapo kashehe inakuwa kubwa mno maan ndani ya miaka 10 watakuwa hawana nguvu. Na invyoelekea 2030 KKKT watachukua kitu cha Urais.
So 20 Years kutakuwa hakuna mkatoliki mwenye nguvu, maana hawajazoea hivyo.
Wao hawaoni hilo. Wanachojali ni maslahi yao tu na wala siyo maslahi ya Kanisa. Maana tunakutana na wakatoliki mtaani wamechoka ile mbaya.Kwahiyo wako tayari kwa lolote ili wapenye kwenye uongozi wa juu wanchi, sio kwamba wanahurumia sana watanzania walio uawawa, wanasaka utawala kwa nguvu zote, ila nacho ona Raisi mkatoliki au Muislamu ulishapita nawakati tuangalie uandilifu na uwezo.
Msichokijua ni kwamba enzi za propaganda za uzushi na uhayawani zilikwishapitwa na wakati siku nyingi sanaHii sheria ya TRA imeyagusa mashirika mengi ya kidini maana yalikuwa yanatumika kama uchochoro wa wafanyabiashara kuingiza bidhaa nchini bila kulipa kodi.
Shirika la kidini linapaswa kuwasilisha maombi kwa Commissioner General wa Tanzania Revenue Authority (TRA) kabla ya kuleta vifaa ili kupata barua ya msamaha (exemption) kabla ya ku-clear mizigo.
Upunguzaji wa VAT unaruhusiwa kwa “import of goods by the religious organisation for the provision of health, education, water, religious services” ila, chini ya masharti: au huduma zinazotolewa bila ada (“without fee, charge, or any other consideration”) au ikiwa ada zinatozwa, hazipaswi kuzidi 50% ya “fair market value.”
Kwa misamaha ya kodi ambayo inatolewa, mfumo wa malipo ni kupitia “Treasury Voucher and Cheque System” (TVC). Hii ina maana kwamba serikali inalipia kodi hiyo kwa niaba ya shirika la kidini, badala ya shirika kulipa kodi hiyo moja kwa moja kwa TRA.
Changamoto inayowaumiza TEC mpaka wanaleta mbwai
-> Inahitaji nyaraka nyingi (barua DC, mpango wa ununuzi, ripoti ya matumizi, maombi rasmi)
-> Serikali inaweza kuangalia kama vifaa vilitumiwa kwa madhumuni ya msamaha. Ikiwa shirika linauza vifaa badala ya kutumia kwa ibada au huduma za jamii, msamaha unaweza kukataliwa au kuondolewa.
Mambo haya yanawafanya TEC wapitie mlango wa nyuma kuja na waraka wa vitisho, kutengeneza vijana wa TYC kwenye social media kuitukana na kuleta uzushi dhidi ya serikali. Kuwatumia nchi jirani na vyombo vya habari kuwachafua viongozi na kutengeneza meme.
Je, hii vita TEC wataimaliza? Je, Wakatoliki wote wanakubaliana na mwenendo wa TEC?
Ukweli ni kwamba wapo mapadri wengi tu hawana imani na TEC, TEC imekuwa ni kikundi cha watu wachache na familia zao kufadiana.
Andika vizuri. Unakoroga sanaMsichokijua ni kwamba enzi za propaganda za uzushi na uhayawani zilikwishapitwa na wakati siku nyingi sana
Hao mnaohangaika nao TEC hata wao wangeongea utumbo bado waumini wao wangewakataa!
Hizi sio zama za kushikiana akili. Nadhani kundi pekee lililobaki linalokubali kushikiwa akili ni kundi la wana CCM. Huko ndiko mtu ana akili timamu lakini anashindwa kuhoji, mtu ana akili timamu lakini anakubali kudanganywa, mtu ana akili timamu lakini anakubali kukaa kimya.
Kwa mfano, kundi lenye watu wenye akili timamu wasingekubali mtu anayekalia kiti cha Rais aje hadharani na atamke eti "waangalizi wa uchaguzi hawakuwaona wapiga kura kutokana na idadi ya vituo vya kupigia kura kuongezwa"! Kukubaliana na hoja kama hii ni kukubali kushikiwa akili
Hao TEC hawawezi kuja hadharani bila kufanyia uchambuzi jambo wanalotaka kulisema.
Halafu, kwani ni kipi kibaya wamesema hadi muwashambulie?
Ni kipi cha uongo wamesema hadi muwazongezonge hivyo?
Ni upotoshaji gani wamefanya hadi mkose raha?
Jibuni hoja zao acheni, acheni kuhangaika
Ukiandika vizuri wewe inatosha, najua huna cha kujibu kwasababu umekubali kushikiwa akili na ufahamuAndika vizuri. Unakoroga sana
Baada ya kuondoa sheria hiyo, serikali ya ccm mmekusanya kodi kwa kiwango kipi ukilinganisha na wakati wa sheria hiyo haijaondolewaHii sheria ya TRA imeyagusa mashirika mengi ya kidini maana yalikuwa yanatumika kama uchochoro wa wafanyabiashara kuingiza bidhaa nchini bila kulipa kodi.
Shirika la kidini linapaswa kuwasilisha maombi kwa Commissioner General wa Tanzania Revenue Authority (TRA) kabla ya kuleta vifaa ili kupata barua ya msamaha (exemption) kabla ya ku-clear mizigo.
Upunguzaji wa VAT unaruhusiwa kwa “import of goods by the religious organisation for the provision of health, education, water, religious services” ila, chini ya masharti: au huduma zinazotolewa bila ada (“without fee, charge, or any other consideration”) au ikiwa ada zinatozwa, hazipaswi kuzidi 50% ya “fair market value.”
Kwa misamaha ya kodi ambayo inatolewa, mfumo wa malipo ni kupitia “Treasury Voucher and Cheque System” (TVC). Hii ina maana kwamba serikali inalipia kodi hiyo kwa niaba ya shirika la kidini, badala ya shirika kulipa kodi hiyo moja kwa moja kwa TRA.
Changamoto inayowaumiza TEC mpaka wanaleta mbwai
-> Inahitaji nyaraka nyingi (barua DC, mpango wa ununuzi, ripoti ya matumizi, maombi rasmi)
-> Serikali inaweza kuangalia kama vifaa vilitumiwa kwa madhumuni ya msamaha. Ikiwa shirika linauza vifaa badala ya kutumia kwa ibada au huduma za jamii, msamaha unaweza kukataliwa au kuondolewa.
Mambo haya yanawafanya TEC wapitie mlango wa nyuma kuja na waraka wa vitisho, kutengeneza vijana wa TYC kwenye social media kuitukana na kuleta uzushi dhidi ya serikali. Kuwatumia nchi jirani na vyombo vya habari kuwachafua viongozi na kutengeneza meme.
Je, hii vita TEC wataimaliza? Je, Wakatoliki wote wanakubaliana na mwenendo wa TEC?
Ukweli ni kwamba wapo mapadri wengi tu hawana imani na TEC, TEC imekuwa ni kikundi cha watu wachache na familia zao kufadiana.
Wewe wamekwambia wapi? Usikurupuke huko BAKWATA ukaja kuwaongelea mapadri huku JF, waambie waliokutuma wakutume tena...Ukitaka kujua udikteta wa TEC fanya reseach. Mapadri 80% hawakubaliani na maamuzi yao.
Kwani TEC ni kina nani?Ukitaka kujua udikteta wa TEC fanya reseach. Mapadri 80% hawakubaliani na maamuzi yao.
Nimeandika nikafuta nikaandika nikafuta..Sawa ila hao TEC wanataka kujiweka kwenye mapinduzi ya wananchi revolution ili wajipachike wapewe kipao mbele katika Utawala ujao, kwasbabu walisha liona CCM haitomboi katika hili, na TEC na CCM tofauti ni ndogo ni wale wale wako kimasirahi sio wazalendo
BAKWATA na ........Mabandiko ya tec leo naona yamezidi
Waajiriwa wapya kazini.