Bado hujasema, utasema sana. Ni hivi, hakikisha unaweka ushahidi wa wapi kura 31m zimetokea. Tukiingia barabarani 912 uhakikishe na ushahidi wa ule upuuzi uliowafanya muue wananchi wengi vile. Tukienda ICC huko mtanyoosha maelezo.Ukitaka kujua udikteta wa TEC fanya reseach. Mapadri 80% hawakubaliani na maamuzi yao.
Uchaguzi wa juzi katika jimbo la tandahimba mkoani mtwara matokeo yametangazwa na mkuu wa mkoa kanali Patrick sawala na tandahimba watu wameuana sana jumapili iliyofuata padri alihubiri Kuwa chanzo cha vurugu zile ni serikaliMpaka sasa dawa imekuingia kisawa sawa. Tunajua huko TEC kuna mgogoro mkubwa. Baadhi ya maaskofu hawakubaliani na Katibu, na nyuma ya maaskofu hao kuna mapadri chungu nzima wapo upande wa Serikali.
Hii vita mtabaki wachache mno. Na siyo msimamo wa kanisa katoliki.
Hakuna mwananchi yoyote maskini anayetibiwa bure katika mahospital yote ya taasisi zote za kidini ambayo yanakamua kodi zetu...Tena gharama za hapo Bugando hospital utasema uko India.Raia wengi masikini hawapati matibabu ya maana kwenye hizo hospital...wewe unaongelea kodi, vipi hospitali km Bugando unaweza pima thamani ya mchango wake toka imenzishwa na hiyo kodi unayosema vinalingana? msamaha wa kodi wanaoomba ni kwa ajili ya vitu gani..vya starehe au kusaidia wananchi?
Mjinga asiyetaka kukubali ukweli ndio anaweza kuona hivi..hospital ya bugando haijaanza jana imekuwepo miaka na miaka na inafanya kile kile kama jana km leo na kesho..mzigo inaobeba serikali haiwezi kubeba, neno bure ni mtizamo, dawa ya sh. 10,000 ikitolewa kwa sh. 2,000 kwangu hiyo dawa ni bure sababu hizo 2,000 ni gharama za usafiri na mchango kwa watoa huduma.Hakuna mwananchi yoyote maskini anayetibiwa bure katika mahospital yote ya taasisi zote za kidini ambayo yanakamua kodi zetu...Tena gharama za hapo Bugando hospital utasema uko India.Raia wengi masikini hawapati matibabu ya maana kwenye hizo hospital.
Kwani Bugando haina ruzuku za serikali, na pia watu wanalipia hiyo huduma.....nakatika memorandum walio saini wanakataza serikali isifungue hospitali kubwa kama hiyo hapo mwanz ila wafanya kua monopolist katika matibabu ya kibingwa huo ni uzalendo au ubepari.
Niishie hapa tu, maana ni dhahiri kuwa hii takataka uliandika ukiwa unatooooo==!Mpaka sasa dawa imekuingia kisawa sawa. Tunajua huko TEC kuna mgogoro mkubwa. Baadhi ya maaskofu hawakubaliani na Katibu, na nyuma ya maaskofu hao kuna mapadri chungu nzima wapo upande wa Serikali.
Hii vita mtabaki wachache mno. Na siyo msimamo wa kanisa katoliki.
Kama ndivyo huyu aliyepo ana huo “uandilifu” na uwezo?Kwahiyo wako tayari kwa lolote ili wapenye kwenye uongozi wa juu wanchi, sio kwamba wanahurumia sana watanzania walio uawawa, wanasaka utawala kwa nguvu zote, ila nacho ona Raisi mkatoliki au Muislamu ulishapita nawakati tuangalie uandilifu na uwezo.
Alichaguliwa na mfumo sio wananchi, mfumo wa ccm uondolewe ndo nchi ipate amani na haki.Kama ndivyo huyu aliyepo ana huo “uandilifu” na uwezo?
Mjinga asiyetaka kukubali ukweli ndio anaweza kuona hivi..hospital ya bugando haijaanza jana imekuwepo miaka na miaka na inafanya kile kile kama jana km leo na kesho..mzigo inaobeba serikali haiwezi kubeba, neno bure ni mtizamo, dawa ya sh. 10,000 ikitolewa kwa sh. 2,000 kwangu hiyo dawa ni bure sababu hizo 2,000 ni gharama za usafiri na mchango kwa watoa huduma.
Kutetea hili la gharama za huduma za taasisi mbali mbali za kidini(Mahospitali) pamoja na kupata misamaha ya kodi mbali mbali plus ruzuku inaonesha ts either ni mnufaika wa moja kwa moja au umepofushwa na hisia zako za kidini...kwa taarifa kidogo tu kwako hizo dawa zote unazouziwa huko hospitalini kwa gharama ya shilingi 2000 kwa dose...Bei halisi ya outer box yenye vidonge 100 bei yake ni chini ya shilingi 1000...sasa kwa taasisi ambayo haina kodi na inapata ruzuku serikalini ya uendeshaji kwann wasiuze shilingi 500 kwa dose??...Wizi mtupu na tunajua hilo na uenda ujui unachoteteaMjinga asiyetaka kukubali ukweli ndio anaweza kuona hivi..hospital ya bugando haijaanza jana imekuwepo miaka na miaka na inafanya kile kile kama jana km leo na kesho..mzigo inaobeba serikali haiwezi kubeba, neno bure ni mtizamo, dawa ya sh. 10,000 ikitolewa kwa sh. 2,000 kwangu hiyo dawa ni bure sababu hizo 2,000 ni gharama za usafiri na mchango kwa watoa huduma.
Mkuu mbona ulikuwa fresh tu ,nini kimekuoelekea uamue kuwa kupe kibwege hivi?Hii sheria ya TRA imeyagusa mashirika mengi ya kidini maana yalikuwa yanatumika kama uchochoro wa wafanyabiashara kuingiza bidhaa nchini bila kulipa kodi.
Shirika la kidini linapaswa kuwasilisha maombi kwa Commissioner General wa Tanzania Revenue Authority (TRA) kabla ya kuleta vifaa ili kupata barua ya msamaha (exemption) kabla ya ku-clear mizigo.
Upunguzaji wa VAT unaruhusiwa kwa “import of goods by the religious organisation for the provision of health, education, water, religious services” ila, chini ya masharti: au huduma zinazotolewa bila ada (“without fee, charge, or any other consideration”) au ikiwa ada zinatozwa, hazipaswi kuzidi 50% ya “fair market value.”
Kwa misamaha ya kodi ambayo inatolewa, mfumo wa malipo ni kupitia “Treasury Voucher and Cheque System” (TVC). Hii ina maana kwamba serikali inalipia kodi hiyo kwa niaba ya shirika la kidini, badala ya shirika kulipa kodi hiyo moja kwa moja kwa TRA.
Changamoto inayowaumiza TEC mpaka wanaleta mbwai
-> Inahitaji nyaraka nyingi (barua DC, mpango wa ununuzi, ripoti ya matumizi, maombi rasmi)
-> Serikali inaweza kuangalia kama vifaa vilitumiwa kwa madhumuni ya msamaha. Ikiwa shirika linauza vifaa badala ya kutumia kwa ibada au huduma za jamii, msamaha unaweza kukataliwa au kuondolewa.
Mambo haya yanawafanya TEC wapitie mlango wa nyuma kuja na waraka wa vitisho, kutengeneza vijana wa TYC kwenye social media kuitukana na kuleta uzushi dhidi ya serikali. Kuwatumia nchi jirani na vyombo vya habari kuwachafua viongozi na kutengeneza meme.
Je, hii vita TEC wataimaliza? Je, Wakatoliki wote wanakubaliana na mwenendo wa TEC?
Ukweli ni kwamba wapo mapadri wengi tu hawana imani na TEC, TEC imekuwa ni kikundi cha watu wachache na familia zao kufadiana.
Achana na Mujahidina huyu..wewe unaongelea kodi, vipi hospitali km Bugando unaweza pima thamani ya mchango wake toka imenzishwa na hiyo kodi unayosema vinalingana? msamaha wa kodi wanaoomba ni kwa ajili ya vitu gani..vya starehe au kusaidia wananchi?
Nguvu gani huyo team fulani kwamba waweke huyo na Polepole nani ana nguvu kwenye chama na serikali ni unafiki tu tunajua sema twende tuWanataka kushinikiza wawekwe viongozi wao kwenye serikali sehemu nyeti kama TISS nk.
Tayari Makamu wa Rais ni mkatoliki lakini makamu wa Rais hana nguvu ndani ya Serikali. Waziri mkuu ni KKKT waziri mkuu yupo na Nguvu kubwa ndani ya Serikali sio mtu wao.
Hapo kashehe inakuwa kubwa mno maan ndani ya miaka 10 watakuwa hawana nguvu. Na invyoelekea 2030 KKKT watachukua kitu cha Urais.
So 20 Years kutakuwa hakuna mkatoliki mwenye nguvu, maana hawajazoea hivyo.