President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Siyo kuaminisha. Ni ukweli usiopingika. Nimezunguka kwa mapadri nchi nzima, hawana imani na TECUnataka kuaminisha kwamba lengo la TEC ni masirahi ya kiuchumi sio uzalendo?
Yaani weweHii sheria ya TRA imeyagusa mashirika mengi ya kidini maana yalikuwa yanatumika kama uchochoro wa wafanyabiashara kuingiza bidhaa nchini bila kulipa kodi.
Shirika la kidini linapaswa kuwasilisha maombi kwa Commissioner General wa Tanzania Revenue Authority (TRA) kabla ya kuleta vifaa ili kupata barua ya msamaha (exemption) kabla ya ku-clear mizigo.
Upunguzaji wa VAT unaruhusiwa kwa “import of goods by the religious organisation for the provision of health, education, water, religious services” ila, chini ya masharti: au huduma zinazotolewa bila ada (“without fee, charge, or any other consideration”) au ikiwa ada zinatozwa, hazipaswi kuzidi 50% ya “fair market value.”
Kwa misamaha ya kodi ambayo inatolewa, mfumo wa malipo ni kupitia “Treasury Voucher and Cheque System” (TVC). Hii ina maana kwamba serikali inalipia kodi hiyo kwa niaba ya shirika la kidini, badala ya shirika kulipa kodi hiyo moja kwa moja kwa TRA.
Changamoto inayowaumiza TEC mpaka wanaleta mbwai
-> Inahitaji nyaraka nyingi (barua DC, mpango wa ununuzi, ripoti ya matumizi, maombi rasmi)
-> Serikali inaweza kuangalia kama vifaa vilitumiwa kwa madhumuni ya msamaha. Ikiwa shirika linauza vifaa badala ya kutumia kwa ibada au huduma za jamii, msamaha unaweza kukataliwa au kuondolewa.
Mambo haya yanawafanya TEC wapitie mlango wa nyuma kuja na waraka wa vitisho, kutengeneza vijana wa TYC kwenye social media kuitukana na kuleta uzushi dhidi ya serikali. Kuwatumia nchi jirani na vyombo vya habari kuwachafua viongozi na kutengeneza meme.
Je, hii vita TEC wataimaliza? Je, Wakatoliki wote wanakubaliana na mwenendo wa TEC?
Ukweli ni kwamba wapo mapadri wengi tu hawana imani na TEC, TEC imekuwa ni kikundi cha watu wachache na familia zao kufadiana.
Nimefanya nini kaka?Yaani wewe
Acha basiNimefanya nini kaka?
Acha basiNimefanya nini kaka?
TEC ni opportunists wanao taka kutengeneza leadership vacuum ili waweze kuweka Mkatoliki katika kiti cha Uraisi ila sidhani kama watafanikisha hi GenZ ilisha choka udini katik siasa, mbona wa kuristo wengine kama wasabato johova pentecostal hawako power Hungry kama wakatoliki?Ukitaka kujua udikteta wa TEC fanya reseach. Mapadri 80% hawakubaliani na maamuzi yao.
Hii sheria ya TRA imeyagusa mashirika mengi ya kidini maana yalikuwa yanatumika kama uchochoro wa wafanyabiashara kuingiza bidhaa nchini bila kulipa kodi.
Shirika la kidini linapaswa kuwasilisha maombi kwa Commissioner General wa Tanzania Revenue Authority (TRA) kabla ya kuleta vifaa ili kupata barua ya msamaha (exemption) kabla ya ku-clear mizigo.
Upunguzaji wa VAT unaruhusiwa kwa “import of goods by the religious organisation for the provision of health, education, water, religious services” ila, chini ya masharti: au huduma zinazotolewa bila ada (“without fee, charge, or any other consideration”) au ikiwa ada zinatozwa, hazipaswi kuzidi 50% ya “fair market value.”
Kwa misamaha ya kodi ambayo inatolewa, mfumo wa malipo ni kupitia “Treasury Voucher and Cheque System” (TVC). Hii ina maana kwamba serikali inalipia kodi hiyo kwa niaba ya shirika la kidini, badala ya shirika kulipa kodi hiyo moja kwa moja kwa TRA.
Changamoto inayowaumiza TEC mpaka wanaleta mbwai
-> Inahitaji nyaraka nyingi (barua DC, mpango wa ununuzi, ripoti ya matumizi, maombi rasmi)
-> Serikali inaweza kuangalia kama vifaa vilitumiwa kwa madhumuni ya msamaha. Ikiwa shirika linauza vifaa badala ya kutumia kwa ibada au huduma za jamii, msamaha unaweza kukataliwa au kuondolewa.
Mambo haya yanawafanya TEC wapitie mlango wa nyuma kuja na waraka wa vitisho, kutengeneza vijana wa TYC kwenye social media kuitukana na kuleta uzushi dhidi ya serikali. Kuwatumia nchi jirani na vyombo vya habari kuwachafua viongozi na kutengeneza meme.
Je, hii vita TEC wataimaliza? Je, Wakatoliki wote wanakubaliana na mwenendo wa TEC?
Ukweli ni kwamba wapo mapadri wengi tu hawana imani na TEC, TEC imekuwa ni kikundi cha watu wachache na familia zao kufadiana.
Kaka kuna msigano mkubwa sana ndani ya TEC. Wanajifanya kuficha kichwa kwenye mchanga. Watu tunajua Maaskofu wengi hawakubaliani na maamuzi yanayofanywa na Padri Kitima. Wengi wanataka ang'olewe pale.TEC ni opportunists wanao taka kutengeneza leadership vacuum ili waweze kuweka Mkatoliki katika kiti cha Uraisi ila sidhani kama watafanikisha hi GenZ ilisha choka udini katik siasa, mbona wa kuristo wengine kama wasabato johova pentecostal hawako power Hungry kama wakatoliki?
..wewe unaongelea kodi, vipi hospitali km Bugando unaweza pima thamani ya mchango wake toka imenzishwa na hiyo kodi unayosema vinalingana? msamaha wa kodi wanaoomba ni kwa ajili ya vitu gani..vya starehe au kusaidia wananchi?Hii sheria ya TRA imeyagusa mashirika mengi ya kidini maana yalikuwa yanatumika kama uchochoro wa wafanyabiashara kuingiza bidhaa nchini bila kulipa kodi.
Shirika la kidini linapaswa kuwasilisha maombi kwa Commissioner General wa Tanzania Revenue Authority (TRA) kabla ya kuleta vifaa ili kupata barua ya msamaha (exemption) kabla ya ku-clear mizigo.
Upunguzaji wa VAT unaruhusiwa kwa “import of goods by the religious organisation for the provision of health, education, water, religious services” ila, chini ya masharti: au huduma zinazotolewa bila ada (“without fee, charge, or any other consideration”) au ikiwa ada zinatozwa, hazipaswi kuzidi 50% ya “fair market value.”
Kwa misamaha ya kodi ambayo inatolewa, mfumo wa malipo ni kupitia “Treasury Voucher and Cheque System” (TVC). Hii ina maana kwamba serikali inalipia kodi hiyo kwa niaba ya shirika la kidini, badala ya shirika kulipa kodi hiyo moja kwa moja kwa TRA.
Changamoto inayowaumiza TEC mpaka wanaleta mbwai
-> Inahitaji nyaraka nyingi (barua DC, mpango wa ununuzi, ripoti ya matumizi, maombi rasmi)
-> Serikali inaweza kuangalia kama vifaa vilitumiwa kwa madhumuni ya msamaha. Ikiwa shirika linauza vifaa badala ya kutumia kwa ibada au huduma za jamii, msamaha unaweza kukataliwa au kuondolewa.
Mambo haya yanawafanya TEC wapitie mlango wa nyuma kuja na waraka wa vitisho, kutengeneza vijana wa TYC kwenye social media kuitukana na kuleta uzushi dhidi ya serikali. Kuwatumia nchi jirani na vyombo vya habari kuwachafua viongozi na kutengeneza meme.
Je, hii vita TEC wataimaliza? Je, Wakatoliki wote wanakubaliana na mwenendo wa TEC?
Ukweli ni kwamba wapo mapadri wengi tu hawana imani na TEC, TEC imekuwa ni kikundi cha watu wachache na familia zao kufadiana.
Tulia dawa iingie, na itaingia sawa sawa. Ninauhakika utapotea humu JF baada ya kundi lenu kushindwa. Vita mlivyovianzisha ni vigumu mno.Propaganda UCHWARA ......!!
Waambie waseme ni Wangapi mpaka sasa wameuawa.
Tulia dawa iingie, na itaingia sawa sawa. Ninauhakika utapotea humu JF baada ya kundi lenu kushindwa. Vita mlivyovianzisha ni vigumu mno.
Kuna KCMC, ya KKKT, Arusha Lutheran Medical Centre (ALMC), Haydom Lutheran Hospital, Chimala Mission Hospital, Berega Mission Hospital, Mchukwi Mission Hospital, Aga Khan na hospital nyingi tu hapa Tanzania...wewe unaongelea kodi, vipi hospitali km Bugando unaweza pima thamani ya mchango wake toka imenzishwa na hiyo kodi unayosema vinalingana? msamaha wa kodi wanaoomba ni kwa ajili ya vitu gani..vya starehe au kusaidia wananchi?
Mpaka sasa dawa imekuingia kisawa sawa. Tunajua huko TEC kuna mgogoro mkubwa. Baadhi ya maaskofu hawakubaliani na Katibu, na nyuma ya maaskofu hao kuna mapadri chungu nzima wapo upande wa Serikali.Hakuna DAWA hapo .... Nyie Machawa endeleni tu kutekeleza kazi ya WAHUNI.
Sawa ila hao TEC wanataka kujiweka kwenye mapinduzi ya wananchi revolution ili wajipachike wapewe kipao mbele katika Utawala ujao, kwasbabu walisha liona CCM haitomboi katika hili, na TEC na CCM tofauti ni ndogo ni wale wale wako kimasirahi sio wazalendoKaka kuna msigano mkubwa sana ndani ya TEC. Wanajifanya kuficha kichwa kwenye mchanga. Watu tunajua Maaskofu wengi hawakubaliani na maamuzi yanayofanywa na Padri Kitima. Wengi wanataka ang'olewe pale.