Chinese blade
JF-Expert Member
- May 15, 2023
- 337
- 366
Nilizungumza kuhusu hizi ishu za wakristo jina kama wewe ambao mnapenda kuongelea mambo ya kidini for personal interest mnakuwa wabushi na wagumu kuukubali ukweli.Ukristo hauelezi Mali za marehemu zitagawanywa vipi wala mahali italipwa vipi na kama kuna maelezo hayo kwenye biblia ni utamaduni wa eneo ilipoandikwa Biblia.
Ukristo sio utamaduni ila uislamu ni utamaduni wa sehemu flani ambao umekua ni dini.
Hivyo ishu za mgawanyo wa Mali kwenye ukristo zinategemea na Mkristo husika Yuko eneo lenye utamaduni gani kwani sio suala la dini.
Ukristo hauna habari ya mahali ila utamaduni wa eneo husika ndio unamahali.
Mkristo kama Alizaa nnje ya ndoa Mungu anaweza kumsamehe.
We ni mpumbavu (katazame maana ya neno mpumbavu)