kwanza huyo mzee ni smart zaidi na ndio inatakiwa kufanya ukiwa na watoto wa nje ...Kipind akiwa hai kuwajengea wote na kuwagaiya mali kabisa ni jambo zuri kawaida kwa vile mtoto ataweza kuchukua sehemu ya mali aliyopewa isipokuwa kurithi .
Ndio maana mtoto wa nje ya ndoa ataendelea kupewa huduma isipokuwa kurithi ,a anachopewa mzazi akiwa hai ni halali yake .
Jambo jingine, baada ya kufa kuna nafasi ya wosia mtoto huyo atapewa sehemu tu urithi ila hawezi kupata sawa na watoto wa ndani ya ndoa , mambo mengine ni familia kutoa kama ndugu yao anaweza kupata zaidi.
Kurithi na urithi inakuja baada ya mzazi kufa, ili kuruka mtego mape ma wape chao . Jamii nyingi zinafanay hivyo kaangalie watu wa Asia iwe hata kwa watoto ndoa wanapewa chao mapema . Kurithi ni kwa mtoto halali anayetambulika ukirejea ktk uislamu mtoto anapatikana baada ya ndoa , nje ya ndoa ni mtoto aliyepatika nje ya ndoa ni mali ya mama sio baba kwa hyo hana haki ya kurithi kwa baba kutokana hamna uhalali ya kuonyesha ni mwanae .
Kufuata dini inategemea na malezi yao na uelewa ila watoto hao wana uhalali kufauta kwa mama yao ,kutunzwa na mama zao .