Man in black
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 361
- 378
Haina mashiko yoyoteHivi ni kweli kwamba mwanaume akimuahidi mwanamke kuwa atamuoa after sometime kama wakiwa pamoja kisheria anakua deemed kama wameoana??
In short naomba kujua implication ya promise kisheria.
Ahasante.
Hawezi MkuuOk, nimekuelewa...sasa je Mwanamke huyo anaweza kuitumia ile 'dhana ndoa' kwamba ameishi na Marehemu pamoja kwa miaka miwili hivyo anakidhi vigezo vya kuwa sehemu ya Warithi?
Thanx...ila aise unapotea sana duh...mpaka nilishasahau swali.Hawezi Mkuu
Pole Mkuu. Mambo mengi Mkuu, tusameheaneThanx...ila aise unapotea sana duh...mpaka nilishasahau swali.
Pamoja Mkuu.Pole Mkuu. Mambo mengi Mkuu, tusameheane
Mimi naomba kujua kama unaweza kufunga ndoa iwe mahakamani au kanisani au traditionally na ukaamua kuivunja endapo mwenzi wako akikukosea na kama inaruhusiwa ni taratibu gani inabidi zifuatwe??????Wana-JF,
Karibuni hapa kwa maswali mbalimbali yahusuyo Sheria ya Ndoa,1971.Wale wote waliopo kwenye ndoa na wanaotarajia kuwa kwenye ndoa wanakaribishwa hapa kuuliza na kujibiwa. Nitashirikiana na Mawakili Wasomi wenzangu waliopo humu kuwajibu maswali yenu.
Asanteni na karibuni!
Mkuu,maswali yote haya yameshajibiwa humu. Hautanitendea haki kurudia kujibuMimi naomba kujua kama unaweza kufunga ndoa iwe mahakamani au kanisani au traditionally na ukaamua kuivunja endapo mwenzi wako akikukosea na kama inaruhusiwa ni taratibu gani inabidi zifuatwe??????
2. Pia naomba kujua ni kwanini serikali inatilia mkazo baina ya wawili wapendanao kukaa kwenye ndoa na kusisitiza kwa kutoa adhabu kali endapo mmojawapo atavunja sheria ya ndoa wakati pindi mwanaume anatoa posa au mahali serikali haimchangii????
NB: Mimi kwa mawazo yangu huwa naona mahali inayotolewa kwa mwanamke huwa ni kama kumnunua maana mpaka sasa wazazi walio wengi wanatumia watoto wao wa kike kama kitega uchumi
Sawa ngoja nirudi nyuma niangalie majibuMkuu,maswali yote haya yameshajibiwa humu. Hautanitendea haki kurudia kujibu
Asante MkuuSawa ngoja nirudi nyuma niangalie majibu
Unaweza omba talaka.Je kama mtu na mewe wamefunga ndoa, halafu baada ya kufunga ndoa kumbe mwanaume afanyi kazi (yaani hasimamishi) na wameendelea kwa muda kama wa miaka mitatu...je mwanamke anaweza kuomba talaka?
Vyeti kwanza kuanzia vya kuzaliwa mpk vya kumalizia masomo.[emoji16]Utaratibu wa kuoa upoje? Kwa siku hizi?
Vyeti kwanza kuanzia vya kuzaliwa mpk vya kumalizia masomo.[emoji16]Utaratibu wa kuoa upoje? Kwa siku hizi?
Hilo ni kinyume cha sheria. Ndoa ya kanisani ni ya mke mmoja. Inayofuata ni batiliMm nauliza je in haki kwa mwanaume kufunda ndoa ya kanisan na ya serikalin wake tofauti