Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

Hivi ni kweli kwamba mwanaume akimuahidi mwanamke kuwa atamuoa after sometime kama wakiwa pamoja kisheria anakua deemed kama wameoana??
In short naomba kujua implication ya promise kisheria.
Ahasante.
 
Wana-JF,

Karibuni hapa kwa maswali mbalimbali yahusuyo Sheria ya Ndoa,1971.Wale wote waliopo kwenye ndoa na wanaotarajia kuwa kwenye ndoa wanakaribishwa hapa kuuliza na kujibiwa. Nitashirikiana na Mawakili Wasomi wenzangu waliopo humu kuwajibu maswali yenu.

Asanteni na karibuni!
Mimi naomba kujua kama unaweza kufunga ndoa iwe mahakamani au kanisani au traditionally na ukaamua kuivunja endapo mwenzi wako akikukosea na kama inaruhusiwa ni taratibu gani inabidi zifuatwe??????

2. Pia naomba kujua ni kwanini serikali inatilia mkazo baina ya wawili wapendanao kukaa kwenye ndoa na kusisitiza kwa kutoa adhabu kali endapo mmojawapo atavunja sheria ya ndoa wakati pindi mwanaume anatoa posa au mahali serikali haimchangii????

NB: Mimi kwa mawazo yangu huwa naona mahali inayotolewa kwa mwanamke huwa ni kama kumnunua maana mpaka sasa wazazi walio wengi wanatumia watoto wao wa kike kama kitega uchumi
 
Mkuu,maswali yote haya yameshajibiwa humu. Hautanitendea haki kurudia kujibu
 
Huu uzi unanigusa moja kwa moja,tatizo langu nilikutana na mschana mmoja hapa Dodoma,baada ya kuwa naye nikaona nivute mazima,kwani alishakaa hapa dom kitu kama miaka miwili,nilivyovuta tu akaniambia alikuwaga ktk ndoa mwanza bt walifarakana na mshikaji more than two years,Lkn hajapewa talaka nikamwambia sasa tunafanyaje,akaniambia kama mshikaji hatatoa talaka itabidi yeye ampe!!nikamwambia poa!!baada ya muda akaniambia tayar kashamtumia jamaa talaka yake kwa njia ya sms!!kisheria imekaaje coz tumeshakaa zaid ya miaka sita until now
 
thug lyf kisheria ndoa huvunjawa na mahakama tu,si nje ya hapo!
Na itavunja tu iwapo mmoja wa wenzi ana:ugonjwa wa akili usiotibika,hawezi kushiriki tendo la ndoa kwa ukamilifu,amepata mimba kabla au baada ya ndoa kutoka mwezi mwingine ambae sio mwenzi wake,na mmoja wa wenzi kuathirika kwa magonjwa ya zinaa au ukimwi!
Pia,mmoja wa mwezi kumtelekeza mwenzie kwa zaidi ya miaka 3 mpaka 5,pasipo na taarifa yoyote!
 
Dah... Sheria inasemaje kuhusu kunyimwa game.... Inatoa hukumu gani kwa waruka ukuta? [emoji87] [emoji87]
 
Mm nauliza je in haki kwa mwanaume kufunda ndoa ya kanisan na ya serikalin wake tofauti
 
Na je mwanaume akibadili dini na kuwa muislamu kisha akafunga ndoa nyingine kwa dini ya kiislamu, je ndoa hiyo itakua batili au halali?
 
Back
Top Bottom