My experience
Mm niliamua tu kutembea na yesu nkamuachia nyumba na watoto ila nkaondoka na document zote
Mpaka Leo hii ni 2years kila MTU anaishi maisha yake na mm nineowa na Nina mtoto mmoja kwa mke mwingine na Nina tarajia kufunga ndoa nyingine bomani
Kisheria, hakuna mama wa nyumbani.Samahani iyo namba 2 unadhibitishaje mchango wa mwenza kama alikuwa mama wa nyumbani tu
Hoja hapa ni kama katika huo mgawanyo...deni linahusika katika thathimin. Hoja si kupewa 50 % au lah.Anapata stahili zake sawa kabisa na mumewe....alikaa nyumbani kutekeleza majukumu ya kulea familia akimuacha mumewe aende kazini atekeleze majukumu ya kuleta ugali na mahitaji mengine ya familia.
Hivyo anastahili 50% ya mali zote zilizopatilana wakati wakiwa pamoja.
Je yeye ametoka mchango wowote ?Kwakweli mambo yamekalia kohoni, mwanamke anataka yugawane assets zote bila huruma.
Kama mnaweza kugawana mali basi ni pamoja na madeni yaliyopatikana kwenye ndoa hiyo.Kuna kawaida watu wakitengana wanagawana mali walizochuma pamoja.
Sasa ikiwa mali zilikopwa na bado mtu anadaiwa ,je na deni pia ligawanywe?
NB:swala limefika mahakamani.
Hana kazi ila si unajua ukiishi na mwanamkeJe yeye ametoka mchango wowote ?
SawaKama mnaweza kugawana mali basi ni pamoja na madeni yaliyopatikana kwenye ndoa hiyo.
Doesn't matterHana kazi ila si unajua ukiishi na mwanamke
Sheria ipo wazi mkuu....mgawanyo wa mali unahusishwa na madeni.Hoja hapa ni kama katika huo mgawanyo...deni linahusika katika thathimin. Hoja si kupewa 50 % au lah.
Ila kuzini ruksaayou are very right. hata katika kitabu cha malaki imeandikwa Mungu anachukia kuachana. ukiona unaachana tu ujue Mungu anachukia kitendo unachokifanya. na kama ukiachana basi usioe au kuolewa tena hadi mmoja wenu afariki kifo kiwatenganishe. bofya hapa SHERIA KWA KISWAHILI
Pia kama kuna wanasheria wanaotoa huduma za uwakili bure ili wamsaidie huyu dada,ni masikini sana,kaachiwa na mumewe nyumba moja na hana cha ziada cha kumsaidia,na wapo vijijiniHabari Mkuu,nina shemeji yangu ambaye alifiwa na mumewe ambaye walifunga nee ndoa ya kiislam, sasa tokea afe ndugu wa mume wamekuwa wakimsumbua sana mke wa marehemu kuhusiana na mali,huku wakishindwa kutoa msaada wowote kwa watoto, nikamshauri aende mahakamani,mahakama ikaamuru kikao cha ndugu kichague msimsmizi wa mirathi,akachaguliwa kaka wa marehemu ambae ndie msumbufu sana, baada ya hapo mahakama ikamthibitisha yule msimamizi wa mirathi na kuuliza kuwa ugawaji wa mali utafuata sheria gani,msimamizi akasema watafuata sheria za kiislam, mahakama ikakubaliana na hilo na kufunga shauri.
Sasa shida ni kuwa hiyo sheria ya kiislam itamfanya mke wa marehemu apate SUMNI(yaani kidogo tu) na wa watoto wanampango wakae nao hao ndugu wa marehemu ambao hawawezi kuwatunza kabisa, Mke wa marehemu amechanganyikiwa hajui cha kufanya, Swali langu ni je huyu mke wa marehemu afanyeje ili abaki na watoto wake na pia abaki na mali alizochuma na mumewe?
Naomba majibu tafadhaliHabari Mkuu,nina shemeji yangu ambaye alifiwa na mumewe ambaye walifunga nee ndoa ya kiislam, sasa tokea afe ndugu wa mume wamekuwa wakimsumbua sana mke wa marehemu kuhusiana na mali,huku wakishindwa kutoa msaada wowote kwa watoto, nikamshauri aende mahakamani,mahakama ikaamuru kikao cha ndugu kichague msimsmizi wa mirathi,akachaguliwa kaka wa marehemu ambae ndie msumbufu sana, baada ya hapo mahakama ikamthibitisha yule msimamizi wa mirathi na kuuliza kuwa ugawaji wa mali utafuata sheria gani,msimamizi akasema watafuata sheria za kiislam, mahakama ikakubaliana na hilo na kufunga shauri.
Sasa shida ni kuwa hiyo sheria ya kiislam itamfanya mke wa marehemu apate SUMNI(yaani kidogo tu) na wa watoto wanampango wakae nao hao ndugu wa marehemu ambao hawawezi kuwatunza kabisa, Mke wa marehemu amechanganyikiwa hajui cha kufanya, Swali langu ni je huyu mke wa marehemu afanyeje ili abaki na watoto wake na pia abaki na mali alizochuma na mumewe?
Msaada tafadhaliPia kama kuna wanasheria wanaotoa huduma za uwakili bure ili wamsaidie huyu dada,ni masikini sana,kaachiwa na mumewe nyumba moja na hana cha ziada cha kumsaidia,na wapo vijijini